Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,260
- 12,506
kwanini wamkamate? huenda polisi wanzo taarifa za kiintelijensia wanataka kumjulisha na kumtahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini awe makini na wanaoumzunguka wanaweza kumdhuru kwani hawana nia njema nae. Kwani hiyo ni mbaya? au unabisha tu kwasababu una hulka ya kubishaSi wamkamate kwani amekataa kukamatwa? yeye anataka ajulishe kosa kama sheria inavyotaka ndiyo aende polisi