Tundu Lissu amjibu Zitto kuhusu tuhuma za LEAT

Hakika, wengi hawamjui, misukosuko aliyopitia huko nyuma, hii anayopitia sasa nicha mtoto
Walipaswa wamuulize JK wakati ule kwa nini anasema Lissu ni hatari kuingia bunge ni kuliko yeye kuukosa urais?
Ni kuwa kama raisi alikuwa anatambua uwezo wake mkubwa na jinsi alivyoisumbua serikali akiwa nje ya bunge
 
Bavicha utawajua tu, hawana hoja zaidi ya mitusi!Endelea matusi yako ******
Kijana umewahi kuishi kijijini wanakotumia punda kubebea mizigo?
Unajua ni kwanini punda pamoja na kubebeshwa mzigo haendi bila bakora na matusi? Ukipata tafsiri ya hilo utajua kwa nini hao unaowaita Bavicha wanawaelimisha kwa njia ya mitusi hao uvccm na washirika wao
 
Tundu Lissu unapoteza muda kumjibu mtu kama Zitto ambaye yeue chama chake wameshapoteza mwelekeo hata Afande Sele amesema hawaeleweki kabisa
 
Vibaraka wa CCM wanajulikana
Lisu anaamini anayeweza kumuhoji nchi hii lazima atakuwa ni kutoka CCM...kwa maana nyingine ni kuwa ameshajiridhisha kuwa wale wote alio nao 'kundini' wamesha chezewa akili.
 
Back
Top Bottom