Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 May 17, 2011 #1 Sasa hili tikiti maji, boga au tundi?
Bwaksi Senior Member Nov 2, 2010 125 4 May 17, 2011 #5 Capitano said: Sasa hili tikiti maji, boga au tundi? View attachment 30135 Click to expand... Hilo ni tikitiki maji, a.k.a water melon
Capitano said: Sasa hili tikiti maji, boga au tundi? View attachment 30135 Click to expand... Hilo ni tikitiki maji, a.k.a water melon
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 May 17, 2011 #6 Mmh tunda kama hilo huwezi kupelekea zawadi bi mkubwa unaweza kuambulia laana badala ya shukrani.
Mkasika JF-Expert Member Sep 11, 2010 391 155 May 17, 2011 #7 Kipi cha ajabu hapa??? Jibu unalo wewe mwenyewe