Tunauza Rozela safi toka shambani. Agiza popote ulipo nchini Tanzania

Rozela

Member
Jan 5, 2024
11
10
Hello, kwa wale wanaohitaji Rozela (maua ya choya) kiasi chochote kile nafanya delivery. Mimi napatikana mkoa wa Dodoma mahali ambapo rozela inalimwa kwa wingi, ikiwa unahitaji na uko mkoani nitakutumia kwa uaminifu.

Au kama una ndugu, jamaa au rafiki yako anayeishi Dodoma unaweza kumtumia yeye kuhakikisha hatua zote mpaka mzigo unatumwa.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0755 082 498
+255 755 082 498
Karibuni

images (92).jpeg
 
Karibuni jamani, agiza Rozela kiasi chochote tutakutumia kwa uaminifu.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0755 082 498
+255 755 082 498
 
Kama unahitaji Rozela kwa matumizi binafsi au biashara ondoa shaka. Nitakuuzia rozela yenye kiwango na kukutumia mkoa uliopo.

Kama una wasiwasi waweza kuwasiliana na ndugu, jamaa au rafiki wa karibu anayeishi Dodoma umpe pesa yeye then nimwandalie mzigo nimkabidhi anilipe yeye.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0755 082 498
+255 755 082 498
 
Rozela safi yenye kiwango inapatikana, tutakutumia mzigo popote ulipo nchini Tanzania. Njoo ununue Rozela kwa matumizi binafsi au biashara.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie
0755 082 498
+255 755 082 498
Karibuni
 
Ungeweka na bei. Pia useme hiyo bei inahusisha au haihusishi nini.
Kwa mfano
Ninauza rozella kwa bei ya Tsh 5000 kwa kilo. Bei inajumuisha na gharama za kupeleka mzigo sehemu ya kutumia. Gharama za kutuma mzigo ni za mteja.
Au bei ni .... ukinunua kuanzia kilo... nitakutmia bure.
Mtu atakayekutafuta hatakuwa na maswali mengi.
Asante
 
Fact
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom