Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

Android

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
970
1,207
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu.

Kutengeneza social media account
Tutakutengenezea social media acoount(s) na kukujazia details zote , profile picture, contact details, bio, descriptions, call to action button, na kukuwekea post moja na bonus ya kuktengnezea logo moja bure kama huna.

Full package TSH 50,000/-
Kukutengenezea kwenye social media account 4 na bonus logo bure kama huna na kukuwekea post moja kwenye kila account.
1 Facebook Account and Page
2 Instagram Account
3 Youtube Account
4 Twitter Account

Single Package TSH 20,000/-
Kukutengeneza account ya social media kwenye social media moja tu, kukuwekea post moja na bonus kukutengenezea logo moja bure kama huna.
Hii ni kama unataka tu kwenye social media moja na hutaki kwingine.

Kusimamia (ku manage)social media Accounts
1 Bronze Package Tsh 50,000/-
Kusimamia mwezi mzima na kuweka post 3 kwa wiki

4 Silver Package Tsh 100,000/-
Kusimamia Soicla media mwezi mmoja na kuweka post 5 kwa wiki

3 Gold Package Tsh 200,000/-
Kusimamia Soicla media mwezi mmoja na kuweka post moja kila siku

4Tanzanite Package Tsh 300,000/-
Kusimamia Soicla media mwezi mmoja kuweka tatu kila siku kwa mwezi mzima

5 Platinum Package Tsh 500,000/-
Kusimamia Social media account kwa mwezi mmoja kuweka post 3 kila siku kwa mwezi mzima, kujibu maswali ya watembeleaji wa account yako na pia kujibu meseji kwa niaba yako.

Malipo
Utalipia nusukabla ya kazi na baada ya kazi unamalizia nusu
Kwenye kusimamia mfumo wa malipo ni maelewano

Karibuni!

Tunapatikana Dar es salaam Tanzania
Kwa Mawasiliano 0776639972
 
Back
Top Bottom