masanjuo
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 184
- 306
Habari za uzima ndugu zangu,
Napenda kutoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yetu mwenye hiyo picha hapo, anaefahamika kwa jina la Alex Daniel tokea tarehe 15/12/2023 akiwa maeneo ya Kimara, ambapo ndio huwa anafanyia shughuli zake za bodaboda yenye namba DEH MC364.
Kwa atakaefanikiwa kumuona, atoe taarifa kituo cha polisi kilichopo karibu naye, au apige simu namba 0713204955/0682297752. Tunaomba ushirikiano wenu tuweze kumpata ndugu yetu/rafiki yetu, na pia tunaomba mmsambaze kwenye magroup yote Tz taarifa ziwafikie kila mtu ili tufanikishe jambo hili. Asanteni sana.
Pia, tumeshazunguka hospitali na polisi, mpaka sasa bado hatujapata taarifa yoyote mpya.
NB: Huyu ni shemeji yangu, ameacha mke na watoto wadogo wawili wa miaka miwili na minne.
Asanteni.