Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

Mkuu upo Zuku siku hizi?

Hivi coverage yenu ya cable internet ipoje kwa Dar?

Ni vitongoji vyote au lazima uwe baadhi tu ya maeneo?

Yes. Nipo Zuku na SimbaNET.

Coverage ya Zuku ni Baadhi ya Maeneo. Mostly Masaki; Oysterbay; Mikocheni; Kariakoo; City Cente na maoneo yanayozunguka maeneo yaliyotajwa. Bado tuna expand Network.

Hata hivyo nje ya Maeneo hayo unaweza kupata connection kutoka SimbaNET at entry level price like SME package
 
Bila Shaka. Whatsapp us

Whatsup Us
7a7610b6-7228-433b-a48d-571580f7a2b8.jpg

e70fbd9a-65d0-4114-9f61-7fc6517f37ba.jpg
 
Samahani sijaelewa.

Katika kazi za hawa mafundi imeonyeshwa mojawapo ni 'Kununua zuku kwenye maduka yao'

Hii inamaanisha fundi atanunua Zuku kisha ndiyo aende akauze mitaani?

fbb52656-0864-4d28-a2b7-d18400190684.jpg
 

Attachments

  • 7a7610b6-7228-433b-a48d-571580f7a2b8.jpg
    7a7610b6-7228-433b-a48d-571580f7a2b8.jpg
    67.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom