Tunaotarajia kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini tukutane hapa

We jamaa ilikuaje ukabadilisha ID,? Ulikuwa unatumia ID ya kiume, lakin umekuwa wa kike now... For more reference pitien thread zake za zamani.. Mtaona jina alilokuwa anatumia
 
ila kaka umesahau ata kwa kagame sasa wanafundisha Kiswahili
Kwa kagame na Burundi, Congo,Kenyan.k sawa.

Ila South sidhani. Burundi ukienda unapata huduma kwa kiswahili.

South wanaokijua kiswahili kina malema(wanasiasa tena weusi) na ndiyo wanakihubiri.

Ok, Nisibishe ilakwangu naona ni ndoto, Labda Vyuoni kama Uganda wafanyavyo.

Hawa wanasiasa wanaohubiri kiswahili Kusini ni wa mrengo wa kushoto wqnatumia kila silaha iliyopo Afrika kuipinga ngozi nyeupe iliyopo South Africa.

Hivyo kwangu naona hizi ni kauli za kisiasa zaidi.
 
ata mimi sina uhakika sana...ila viongozi wa huko walilijadili hilo swala la kuongeza lugha ya kiswahili kwenye mitaala yao ya kufundishia ila litakuwa ni somo la option tu. Serikali yetu imeshupalia na kama umesoma post hapo juu kuna watu wameshalipia kupata vyeti BAKITA ili wapate idhini/kibari gharama ni 100,000/=
 
Nitauliza kwa ukaribu maana rasha rasha zinaweza kuwa hapa nyumbani kumbe wa South wao hata hawajui kinachoendelea.

Serikali ya kodi hii mzee baba...wanachangamkia hivyo vipesa.
 
Utashangaa walimu wa Kiswahili wanatokea nchi nyingine kwa wingi wao na sio Tanzania ambako walimu wa Kiswahili wanapatikana kwa wingi.
Wakati mnasubiria kutafutwa wageni wamejazana idara ya Kiswahili pale UDSM na kule SUZA idara ya Kiswahi na Lugha za kigeni wanapiga Kiswahili na wanapewa vyeti kuomyesha wamehitimu vizuri na wanaenda kuitumia hiyo fursa vizur sana huko South wakati huo Watanzania tutakuwa tukijisifu kuwa "Aisee lugha yetu inakuwa kweli huko duniani"
Leo hii Rwanda wamepiga chini Kifaransa na kuchagua Kiswahili ila fursa hii tushaikosa pia kwani jamaa wamejazana tayar pale UDSM wakijifunza Kiswahili kwa bidii zote.
 
dah nilizani tumeula kumbe tumezidiwa hatua 3 mbele na wapiga dili
 
Ivi karibuni huko nchini afrika wametangaza kuanza kutumia somo la kiswahili mashuleni japo somo hili litakuwa ni la kuchagua lakini nadhani fursa hii si ya kuilazia damu.

Kwa yeyote mwenye dondoo muhimu juu ya jinsi ya kutuma maombi si vibaya ukatutoa tongo tongo ili tupate pa kuanzia.
Mkuu, heshima kwako. Siyo kwamba nataka kuku disappoint au najidai kwa lolote. Ila kwa namna tu ya uandishi wako inaonesha kama haupo serious kivile na kazi ya kufundisha. Mwalimu lazima awe Smart kuanzia mwonekano, uandishi, mazungumzo n.k

Sasa kwa haraka haraka tu aina ya uandishi wako inatia wasiwasi kama kazi ya ualimu itakufaa.

Kwa mfano, badala ya kuandika "Hivi karibuni" wewe umeandika "ivi karibuni". "Huko Nchini Afrika Kusini" wewe umeandika "huko nchini Afrika".

Mkuu, kwa hali hiyo huoni unaishusha taaluma yako kama kweli wewe ni mwalimu?
 
Ni makosa ya kisarufi....Akhsante kwa kunikosoa nakuahidi muda mwingine nitakuwa makini zaidi.
 
ata mimi sina uhakika sana...ila viongozi wa huko walilijadili hilo swala la kuongeza lugha ya kiswahili kwenye mitaala yao ya kufundishia ila litakuwa ni somo la option tu. Serikali yetu imeshupalia na kama umesoma post hapo juu kuna watu wameshalipia kupata vyeti BAKITA ili wapate idhini/kibari gharama ni 100,000/=
Jaribuni kuingia website ya BAKITA coz nlisikia hii ni taarifa ya uongo na lilikuwa linasambaa karatasi fulan la tangazo so kwa uhakika zamen kwa wahusika
 
Baada ya kutembelea tovuti nimekutana na habari hii

BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA) LINATOA MAFUNZO YA KUIMARISHA STADI ZA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA WAGENI NA KUTAMBUA RASMI WALIMU WA KISWAHILI KWA WAGENI. MAFUNZO HAYA NI ENDELEVU NA KWA SASA YANAFANYIKA KATIKA OFISI ZA BAKITA NA BAADAYE MIKOANI. LENGO: KUWEZESHA SERIKALI KUTAMBUA KIRAHISI WATAALAMU WA KISWAHILI KWA WAGENI PALE WANAPOHITAJIKA NDANI NA NJE YA NCHI. MAFUNZO HAYA YANAAMBATANA NA KUSAJILI WASHIRIKI KWENYE KANZIDATA YA WATAALAMU WA KISWAHILI. WAHUSIKA: WATAALAMU WA KISWAHILI WENYE ELIMU YA KUANZIA DIGRII YA KWANZA HADI YA UZAMIVU. MUDA: WIKI MOJA. (SAA 8 MCHANA HADI SAA 11 JIONI). ADA: SHILINGI LAKI MOJA TU (100,000) KWA DAR ES SALAAM. MALIPO: FIKA OFISI YETU YA UHASIBU BAKITA ILI KUPATA BILI YA MALIPO. “KISWAHILI NI BIDHAA, KITUNZE KIKUTUNZE” KARIBUNI SANA
Usikiapo tangazo hili mjulishe na mwenzako.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Baraza kwa:
Simu: +255 22 2762213 au +255 22 2762243
Simu ya mkononi: +255 783 544 441 au +255 754 578197
Baruapepe: Bakita@habari.go.tz
 
Utashangaa walimu wa Kiswahili wanatokea nchi nyingine kwa wingi wao na sio Tanzania ambako walimu wa Kiswahili wanapatikana kwa wingi.
Wakati mnasubiria kutafutwa wageni wamejazana idara ya Kiswahili pale UDSM na kule SUZA idara ya Kiswahi na Lugha za kigeni wanapiga Kiswahili na wanapewa vyeti kuomyesha wamehitimu vizuri na wanaenda kuitumia hiyo fursa vizur sana huko South wakati huo Watanzania tutakuwa tukijisifu kuwa "Aisee lugha yetu inakuwa kweli huko duniani"
Leo hii Rwanda wamepiga chini Kifaransa na kuchagua Kiswahili ila fursa hii tushaikosa pia kwani jamaa wamejazana tayar pale UDSM wakijifunza Kiswahili kwa bidii zote.[/QUOTE

Yaani Chief kitu unachokisema ni sahihi kabisaaa kuna kipindi flani kinarushwa KTN tv ya kenya kinaitwa dare abroad kuna siku flan walimuonyesha mkenya flan anafundisa kiswahili kule marekani ktk moja ya chuo kikuu kikubwa tu pale kwa bwana Drump na yule mkenya akasema kuna wakenya wenzake wengi tu wanafundisha kiswhl pale marekani na kuna takriban vyuo vikuu 50 vinafundisha kiswa. HAkika wa TZ hatuzitambui FURSA zetu izi kazi ni ZETU hii lugha ni YETU
 
Back
Top Bottom