Tunaotarajia kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini tukutane hapa

Kama umesomea lugha ya Kiswahili Unajisajiri Bakita ambalo ni balaza la kiswahili Tanzania ada yake ni 10,000 kisha unapigwa kozi ya kiswahili kwa week moja,unapewa cheti na jina lako linaingizwa kwenye data ya walimu wa Kiswahili,unaweza sasa kupata kazi nje ya nchi.
 
Kumbe bakita wamesha tengeneza ulaji....(joks) unajiunga online au unawafata BAKITA walipo...?
 
Sasa mkuu hayo mengine siuna jiongeza tu unaenda BAKITA wanakupa utaratibu sasa huko south utaweza fatilia taratibu nyingine kama hili tu unasubiri aliyekupa muongozo tena akutafitie majibu zaidi akupe wakati wewe unajua huo ndo ugali wako,kuw serious basi mkuu.
asante kwa ushauri ndugu yangu....muda mwingine akili zinakuwa zinajifunga
 
Hahahaha uko sahihi kabisa, then baada ya mchongo kukaa sawa zinajifungua automatically.
enh enh ndugu yangu au atokee mtu akuambie jambo...ambalo hukulizania kabisa hapo unakuwa kama mtu alieshituliwa ndotoni huku akiwa anavujiwa na mvua...
 
Kama umesomea lugha ya Kiswahili Unajisajiri Bakita ambalo ni balaza la kiswahili Tanzania ada yake ni 10,000 kisha unapigwa kozi ya kiswahili kwa week moja,unapewa cheti na jina lako linaingizwa kwenye data ya walimu wa Kiswahili,unaweza sasa kupata kazi nje ya nchi.
Huku dodoma wameshaanza mafunzo, leo ni siku ya tatu.
 
Ni lazima uwe umesomea education in Kiswahili au hata sisi wa HKL zetu na madegree ya makorokoro mengine tumepewa green lights?
 
Back
Top Bottom