Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

Tmaa njooni babati madini ya ujenzi yanatoroshwa bila kulipiwa mrabaha,Royality.
 
kazi ya tmaa ni kuzibiti utoroshwaji wa madini, sasa mbona huku babati hampo wenye tiper za mchanga wanajisevia tu?
 
hiki kitengo cha tmaa inaonekana kazi waliyopewa ni kubwa wenyewe ni wachache,wahusika tunaomba mtoe ajira kwa vijana huku babati ili mweke vituo vya ukaguzi wa madini ujenzi kama mnavyofanya mikoa mingine
 
serikali inapoteza mapato mengi sana hapa babati kwenye hii sekta ya madini
 
utoroshwaji wa madini ujenzi umekithiri hapa babati,wenye mamlaka ya udhibiti mko wapi haya yanafanyika mchana kweupe?
 
jaman tmaa amkeni sasa,mmepewa dhamana hii ya kukagua madini yote nchini kama yanalipiwa mrabaha,njooni babati mjionee wenyewe ni kiasi gani cha pesa kinachopotea
 
Wakala wa ukaguzi wa madini tunawaomba mje babati mkoani manyara pesa za serikali kwenye sekta ya madini zinapotea
 
wakala wa ukaguzi madini tunawaomba mje babati mdhibiti utoroshwaji wa madini
 
kila mtanzania mwenye nia ya dhati ya kuendeleza taifa letu tunaomba apaze sauti yake juu ya hili.
 
watu wanacheza na rasilimali za taifa hili kama vile havina msimamizi
 
tmaa tunawaomba simamieni sheria za madini nyinyi ndio chombo pekee cha ukaguzi wa madini
 
Tmaa jamani mpo wapi kudhibiti uchimbaji usiofuata taratibu?
Weee upo nchi gani? Usikii mkuu mwenyewe anawaruhusu wachimbaji wadogo kuvamia maeneo ya wawekezaji kama wewe kwa kisingizio cha 'wengi wape' kwa sasa ni mwendo wa bora liende tuu hakuna cha sheria ya madini ya 2010 wala nini
 
Weee upo nchi gani? Usikii mkuu mwenyewe anawaruhusu wachimbaji wadogo kuvamia maeneo ya wawekezaji kama wewe kwa kisingizio cha 'wengi wape' kwa sasa ni mwendo wa bora liende tuu hakuna cha sheria ya madini ya 2010 wala nini

Duhh,nimeishiwa pumzi!
 
Back
Top Bottom