Triple A
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 766
- 147
Sisi wachimba wadogo wa madini ujenzi hapa babati tunaiomba serikali yetu itusaidie kusimamia taratibu na sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2010.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wachimbaji haramu hasa katika vijijji vya msware, Riroda, Nakwa na Endanachan.
Uchimbaji huu haramu umetuathiri sisi wenye leseni kwa kiwango kikubwa sana na kuikosesha serikali mapato na mrabaha, tunaiomba serikali itimize wajibu wake ikiwa ni pamoja na kusimamia sheria zilizopo.
Mapato mengi sana yanapotea hapa babati kwa ajili ya usimamizi mbovu wa viongozi wa serikali,mchanga unabebwa bure bila kulipiwa mrahaba huku viongozi wapo tu wanaangalia,sisi wenye maeneo yenye leseni tulishapeleka malalamiko yetu kwa mkuu wa wilaya aliyestaafu Raymond mushi lakini hajatusaidia chochote zaidi yakuongeza mgogoro,tunaomba viongozi mliangalie hili kwani sisi wachimbaji wadogo wa madini ujenzi hapa babati hatufaidiki na leseni zetu na vitalu tunavyo miliki kisheria kwani wenye magari wamekuwa wakibeba madini hayo ya ujenzi bila kulipia chochote.