Tunaomba serikali itoe ufafanuzi kuhusu makato kwenye mishahara ya mwezi wa nane!

Hapo utetezi uko wapi? HESLB wameanza kuchukua makato yao and that is the most probable reason. Unless unaijua sababu nyingine uitaje maana kusema 'serikali imechukua' ndio sababu za kipuuzi kwangu! #mtazamo
Kumbe upo aisee!!
 
kwani miaka yote heslb walikuwa hawachukui makato kwa wadaiwa wao?

Hapo utetezi uko wapi? HESLB wameanza kuchukua makato yao and that is the most probable reason. Unless unaijua sababu nyingine uitaje maana kusema 'serikali imechukua' ndio sababu za kipuuzi kwangu! #mtazamo
 
Yaani umekatwa bila ridhaa yako? Inabidi ukamshtaki kwa Mh Kigwangala au kituo chochote cha Polisi
 
Itakuwa HESLB. Kama ulikuwa hujaanza kuwalipa, watakukata 193500.... kama basic yako ni over 2M. Check na HR, atakuonyesha kwa system who took your cash.
 
Acheni kutetea upuuzi.
Wewe mapenzi na Chadema mpaka yanakupa utaahira? Mwenzio kashauri kitu cha msingi kukiangalia kama sababu ya makato wewe upon kiujinga ujinga tu.
Mwezi wa sita Hili lilitoea wizara mojawapo na walipofuatilia walikuta no makato ya HELB. Makato yanatofautiana kutokana na tofauti ya Mshahara, deni unalodaiwa
 
Nawahauri tu mwenda kwa waajiri wenu mkapate ufafanuzi wa makato hayo. Kama mnataka ushauri humu, basi leteni na salary slips zenu tuone kwanza nini kimekatwa...Lakini huko serikalini si mnasema mishahara ni siri? (divide and rule gimmicks)...give me a break.
 
Wewe mapenzi na Chadema mpaka yanakupa utaahira? Mwenzio kashauri kitu cha msingi kukiangalia kama sababu ya makato wewe upon kiujinga ujinga tu.
Mwezi wa sita Hili lilitoea wizara mojawapo na walipofuatilia walikuta no makato ya HELB. Makato yanatofautiana kutokana na tofauti ya Mshahara, deni unalodaiwa
Ongezea na "muda uliopita tangu umalize chuo na kama hukujisalimisha"
 
Naona mwaka huu ndo wame-implement hilo kwa watu wengi.

Nimerudi....
Haya karibu tena!
Mwaka huu wengi wanalia, madeni yamekuwa makubwa, walijua ndio imetoka, kumbe ndio kumekucha!
 
Acheni kutetea upuuzi.
Sema wewe basi huo ukweli,.
Maana wewe si unajuwa kuwa ni nini?

Kikubwa kijana muhusika wa janga hilo, nenda kwa afisa utumishi wako, mweleze tatzo lako, yeye ataangalia kwenye system, alafu atakuambia tatzo ni nini.
 
ni loan board wqmeanza kuchukua hela yao bwana waliyokusomeshea. hata hivyo mshahara wako mkubwa maana 8% ya mshahara wako ndo wamekata. so 8% ya msahara kuwa 200,000/= si haba kaka.
 
Salary slip siku hizi zinachukua mda mrefu kufika kwa ssbabu zinatoka hazina moja kwa moja!
Binafsi nilianza kukatwa nisivyo vifahamu tangu mwez wa 5 mpaka leo nahangaikia nipate salary slip ili nijue ninavyokatwa maana hata sielewi isije kuwa nachangia madawati kilazima coz bodi ya mikopo ilishaanza kuchukua chao tangu zamani 2014 sasa hivi nnavyokatwa ni nini?
 
Back
Top Bottom