Tunaomba route ya TRENI: Pugu - Gongo la Mboto - Banana - Vingunguti hadi stesheni

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Jamani serikali itupie upya mchakato wa route;

Trein ya kati Steshi kubwa hiamishiwe PUGU ;

Watu wa Pugu, GOngo La mboto,Mombasa, Mdafu, Kinyerezi , banana na Vingunguti tuwe na treini yetu;

Tatizo la usafiri ni kubwa;

Train ya Mwakanga NANI ANFANYA Kazi kurasini? UNanyioshe za za viwandani ifike stesheni
 
Na kweli hiyo route ina jam sana hasa maeneo ya TAZARA. Ila mpeni Dr Mwakyembe nafasi huenda ikawa kwenye mipango yake.
 
Na sehemu zisizo na reli ya TAZARA wala ya kati ndo kusema hazina msongamano? Kama na zenyewe zina msonagamano what is the way forward
 
Jamani serikali itupie upya mchakato wa route;

Trein ya kati Steshi kubwa hiamishiwe PUGU ;

Watu wa Pugu, GOngo La mboto,Mombasa, Mdafu, Kinyerezi , banana na Vingunguti tuwe na treini yetu;

Tatizo la usafiri ni kubwa;

Train ya Mwakanga NANI ANFANYA Kazi kurasini? UNanyioshe za za viwandani ifike stesheni

sasa nyie mnataka route zote hizo alafu mkiambiwa mtoe shs 800 kwa trip mnalalamika..kumbukeni hizo treni hazitumii maji
 
Ianzie KIGOGO FRESH,PUGU KAJIUNGENI,GONGO LA MBOTO,VINGUNGUTI na kuendelea nadhani Waziri ataliangalia hili. Hii ya TAZARA inaanzia mbali nadhani sijui ndiyo kuna KITUO cha kuifanya igeuke.
 
kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.

Lini treni ya ngongo la mboto itaanza?
 
Ishaanza
 
Imeanza Halafu Jana Na Leo Ni Bureee
Kitu Kinaanzia Station Hadi Pugu
 
Back
Top Bottom