Tunaomba Ratiba ya M4C Kusini!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Makamanda, tunaomba ratiba rasmi na inayoeleweka ya M4C ya makamanda huku kusini kwani hatujajua kuwa leo, kesho na keshokutwa makamanda watakuwa kwenye wilaya/jimbo gani kwa hapa Mtwara na hata Lindi. Ratiba jamani kwani tulioko huku wakati fulani tunapata ratiba feki na zisizo rasmi! Asanteni makamanda, tuko pamoja na hakunaga kama CHADEMA.
 
ninaunga mkono hojaaaaaaa
 
Jamii ya watu kama Nape wakiendelea kupiga DRAKATUMBA Ya ukanda dhidi ya CDM wanatakiwa wakapimwe akili.
 
Back
Top Bottom