Asante Suya, asanteni mnanitia nguvu, jamani ajali ni ajali na inatisha, haya kituko kingine tena, jamaa ana simu ya mchina kaweka sauti ya juu, imeita kwa sauti ya juu abiria wameshtuka tena walidhani sijui ndio hayo majini?! hakika safari sitaisahau!
<br />Hakika MUNGU anajibu maombi, baada ya kutusumbua kwa zaidi ya one hour kaamua kukaa kimya, naamini kuna nguvu katika maombi! ametulia sasa sijui ndio moja kwa moja au ataanza tena hata sijui! asanteni ndugu zangu ninawapenda!
<br />Asante Husninyo but imagine mtu anasimama anaanza kuongea kwa lugha usiyoelewa na kisha anasisitiza kwa kiswahili kuwa tutapata ajali, huku akimtaka dereva asimame! Driving za usiku ni ngumu lakini pia hili eneo la chalinze-dar ni miongoni mwa maeneo mabaya sana halafu mtu anasimama tena kwa sauti kubwa na kuropoka! Namwamini Mungu, if I should die let it be for God na sio kwa maneno ya hawa viumbe!
<br /><font color="#ff0000">Je mlifika salama, jitahidi sana uwe unakuwa na kinga yaani DAMU YA YESU.</font>