Tunaomba msaada wenu wapendwa

Hakika MUNGU anajibu maombi, baada ya kutusumbua kwa zaidi ya one hour kaamua kukaa kimya, naamini kuna nguvu katika maombi! ametulia sasa sijui ndio moja kwa moja au ataanza tena hata sijui! asanteni ndugu zangu ninawapenda!

Asante Suya, asanteni mnanitia nguvu, jamani ajali ni ajali na inatisha, haya kituko kingine tena, jamaa ana simu ya mchina kaweka sauti ya juu, imeita kwa sauti ya juu abiria wameshtuka tena walidhani sijui ndio hayo majini?! hakika safari sitaisahau!

sasa huyo mwehu atasababisha dereva apanic na asababishe ajali kweli.......hebu kama itawezekana kuliko muende roho juu juu....pakini pembeni mpaka huyo dereva acalm down kwanza ndio muendelee.....na huyo jamaa yenu kwa nini mpaka sasa hajashuka kama kunatokea ajali?.....

Asante Chapaa, tumekua-nimekua na wakati mgumu sana leo! Namshukuru MUNGU nakaribia kuingia Ubungo! Nimefurahi sana kwa maneno ya faraja toka kwenu! Thanks and be blessed

Hakika MUNGU anajibu maombi, baada ya kutusumbua kwa zaidi ya one hour kaamua kukaa kimya, naamini kuna nguvu katika maombi! ametulia sasa sijui ndio moja kwa moja au ataanza tena hata sijui! asanteni ndugu zangu ninawapenda!

Thats gud Eli. Keep on being calm! Kwenye taharuki kuna mengi but if U stay calm, u may lead others to good solution like what U did on requesting prayers from JF I hope it help coz Maombi ya wengi yana nguvu. Tulia na kuwa makini kwa kila kitu huku ukiendelea kuomba na penye shaka ya hatari utakayoiona inakuja chukua hatua mara moja coz U might be choosen to help other pasengers life. Mtafika salam Bro! Safari njema but dnt forget to update us once arrive tufunge sara zetu!

Asanteni sana tunakaribia Ubungo, asanteni sana sana, ntawajulisha nikishuka ubungo, thanks

Naziona traffic light hizooooooo! Thank You JESUS! kweli nimefarijika saaaaaana! Hakuna cha ajali wala nini, ameshindwa na maruhani yake, sijui katoka wapi huko! Ashindwe hata huko aendako, katunyima raha na amani akijifanya ustadh! Asanteni sana na hii ndio update kwamba nimefika salama Ubungo, tunashusha abiria hapa Ubungo - Maji! Thank You JESUS

Poa Bro! Usiku mwema and keep on praying whenever ur in difficulties and our Almight Lord will do his part. Wakati mwingine unaweza usiipate JF(network prob) lakini through ur own prayers things can change and u will get help from God.

Welcome back tusongeshe JF yetu yenye msaada wakati wote na popote. Cioooo......

Asante Husninyo but imagine mtu anasimama anaanza kuongea kwa lugha usiyoelewa na kisha anasisitiza kwa kiswahili kuwa tutapata ajali, huku akimtaka dereva asimame! Driving za usiku ni ngumu lakini pia hili eneo la chalinze-dar ni miongoni mwa maeneo mabaya sana halafu mtu anasimama tena kwa sauti kubwa na kuropoka! Namwamini Mungu, if I should die let it be for God na sio kwa maneno ya hawa viumbe!

dah! Umenikumbusha safari flani dereva alikuwa anaendesha vibaya kwa uoga nikwapigia ndugu zangu wote na majirani wanifanyie maombi hata tukipata ajali nivunjike nywele tu. Dah! Barabarani noma, angani noma.

Je mlifika salama, jitahidi sana uwe unakuwa na kinga yaani DAMU YA YESU.

Alifika salama Mamndenyi tizama hapo juu alishukuru,na hizo ndizo faida za kumtegemea Mungu wakati wote

Je mlifika salama, jitahidi sana uwe unakuwa na kinga yaani DAMU YA YESU.

Nilifika salama kabisa kwa maombi yenu, nilishukuru pia, asanteni sana sana.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom