Tunakatiwa umeme mchana tunawashiwa usiku tupepewe na feni

amicky008

Member
Jan 6, 2019
15
20
Tanzania, nchi yenye uchumi Wa kati inakumbwa na changamoto ya ukatikaji wa umeme mchana wakati wa shughuli za kujenga taifa na biashara.

Wakati huo wanatuwashia umeme usiku tupepewe na feni
Bila kujua kuwa Kuna watu wanategemea umeme walipe waingize kipato na walipe Kodi
Hii nch tutafika kweli
 
Back
Top Bottom