TANESCO kuna nini huku Meru? Si mchana si usiku hakuna umeme

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,255
6,221
Huku halmashauri wilaya Meru wilayani Arumeru tunakatiwa umeme muda wote si mchana si usiku tatizo nini? Na mvua yote inayonyesha hii bado mwatukatia kwanini? Huu ni ukatili haukubaliki. Tufanye kazi muda gani?
 
Waacheni Tanesco Meru wapige kazi
Tanesco Meru waacheni watu watandaee nyie pigeni kazi
 
Back
Top Bottom