ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
jitahidi kutokukopa ni wizi mtupu..Ndugu hao ni voda mi nimejuta kukopa tigozamani ukikopa unaambiwa sh 400 unalipa sh 440 baada ya kutumia unatumiwa msgdeni lako ni sh 960 unajiuliza limefika wapi sasa jana nimechoka kabisa nimekopa840 nikapiga tigo kidogo nikatumia salio lako alitohelezi ongeza duh nikawa hoibaada ya muda natumiwa msg deni lako la awali ni sh 1320 yaani nilipoingiza 2000wapendwa nilibakizwa sh 347 tzs nimewapigia tigo wamedai wataangalia yaaniniko hoi najiuliza wanaiba ngapi kwa mwaka