Tunaelekea muda wa mavuno mikoani

incinc

Member
May 23, 2023
17
24
Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara kiwepesi...mfano SINGIDA kijiji cha maluga...

Muda wa mavuno wa alizeti wanakuwa na uhitaji wa madumu ya kuifadhia mafuta...dumu za 20lita,5lita...ukipeleka ni pesa ya fasta....karibu mtujuze ni vijiji gani vina fulsa kipindi cha mavuno?
 
Back
Top Bottom