Tumshukuruni sana MUNGU kwa tulichopata kutoka bodi ya mikopo!!

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
Salam wana jamvi wenzangu,
kwanza kabisa naombeni tumshukuruni BWANA MUNGU kwa wale ambao tumepata mikopo. Jamani mimi binafsi sikutegemea kabisa kupata mkopo kwa sababu nilichagua course ambazo ni non priority!
Jamani nimepigwa na bumbuwazi pale niliposoma jina langu kutoka NIT likiwa na sh3,409,500! Sijaamini kabisa!
Jamani hongereni na wenzangu mliopata mikopo!
 
He! Na nyie ni great thinkers? Ww kusoma BURE ni kudra za Mungu au ni jukumu la Serikali kwa7bu unatozwa kodi?
 
He! Na nyie ni great thinkers? Ww kusoma BURE ni kudra za Mungu au ni jukumu la Serikali kwa7bu unatozwa kodi?

mkubwa mbona unakuwa kama si mwelewa?
Ina maana hata kama ni jukumu la serikali kutoa mikopo,
tukimshukuru MUNGU wetu ni makosa?
Au we hauna dini?!
 
Back
Top Bottom