TUMSAIDIE MWANA CHIT CHAT MWENZETU. He's really in Trouble.

Babu Asprin please come zis wei, i ril need to sii yu tafazali...
 
Last edited by a moderator:
Natoa taarifa kwa CHIT CHATTERS WOTE kwamba kuna mwenzetu ambaye huwa na wake wanne humu, tangu majuzi hakuna cha zamu wala nini; wakeze wote wako kwake na imekuwa ni bandika bandua akitoka huyu anaingia yule.
Kisa wala si baridi bali kisa ni yeye kupuuza zamu na kunasa zaidi na my wife wake mdogo cacico. Wale wengine wakaungana na kama mnavyoona hata hapa hamumuoni. Kwa muongozo wakeze ni cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho aliye pia msimamizi wao.
Ushauri; Auguze wake au azingatie zamu. Wewe unamshauri nini? Na kwa makusudi sijamtaja, je umemgundua ni nani????
Source; Mmoja wa wakeze kani-PM.

bibi mwambie Arushaone kuwa babu yuko na kimwali chake kipyaa! Kile ulichoninong'oneza kuwa kitakuwa ki mke mwenza chako!

Babu Asprin please come zis wei, i ril need to sii yu tafazali...

Halafu we KARIA acha kumchafua mume wetu......wakeze ni wanne tuuuu!!!! BADILI TABIA asante sana kwa kuwapasha hawa wanaoleta vidomo domo hapa.

Yummy vipi?? mzima wewe?? jamani kwani hubby wetu amekwenda wapi??

Niko nae huku mke mwenzangu, kwani hakukuaga??!!! Nitamchapaaa......mie salama tu,nakukuruka na hubby hapa.

Hakyamungu sikujua kama kuna watu wana bahati mbaya kama watu wa Mbeya mpaka nilipofika hapa Chechnya. Hivi unawezaje kumtahiri mtoto wa mzazi mwenzio kwa meno kisa tu kachungulia kwenye sufuria kujua leo mmepika nini?

Ahsante Mungu kwa kunifanya kuwa mtanzania, nchi yenye amani ambayo bia inayotoka Ilala ni aghali kutoka petroli inayotoka Saudi Arabia.
 
tutake radhi watu wa mbeya tuna bahati mbaya kivipi???

Dr. Mwakyembe katahiriwa kichwa cha juu.... Source: Kaunga
Profesa Mwandosya katahiriwa ngozi ya kifua..... Source: King'asti
Dr. Ulimboka katahiriwa naniliyu kama naniliyu ya Kanali Gadafi.... Source: snowhite
Mwangosi (RIP) hivi.... ah ngoja niishie hapa na mambo ya kutahiriwa.....

Ila bahati ni kuwa Mbeya haijafikia kiwango ya Chechnya.......
 
Sasa wewe nakupa taarifa za ikulu kwa siri, halafu nanitaja. Mimi nikitahiriwa, makuja umiakiri kuwa driver wa watoto wa ile nyumba mdogo yako ya mwananyamala.
 
Hakyamungu Asprin wewe! kumbe na ushahidi unao... Mbeya/Iringa tuendako tuwape tu Zambia na Malawi, wanaroho za majabali.
 
Last edited by a moderator:
Dr. Mwakyembe katahiriwa kichwa cha juu.... Source: Kaunga
Profesa Mwandosya katahiriwa ngozi ya kifua..... Source: King'asti
Dr. Ulimboka katahiriwa naniliyu kama naniliyu ya Kanali Gadafi.... Source: snowhite
Mwangosi (RIP) hivi.... ah ngoja niishie hapa na mambo ya kutahiriwa.....

Ila bahati ni kuwa Mbeya haijafikia kiwango ya Chechnya.......

Kumbeeeeh! Hao ni wanaume, bado akinamama wanaokeketwa! Kweli Mby wana bahati mbaya!
 
Back to the topic:
Asprin toa taarifa hivi ulipoponyoka break ya kwanza CHECHNYIA MBEYA AMA...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom