TUMSAIDIE MWANA CHIT CHAT MWENZETU. He's really in Trouble.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Natoa taarifa kwa CHIT CHATTERS WOTE kwamba kuna mwenzetu ambaye huwa na wake wanne humu, tangu majuzi hakuna cha zamu wala nini; wakeze wote wako kwake na imekuwa ni bandika bandua akitoka huyu anaingia yule.
Kisa wala si baridi bali kisa ni yeye kupuuza zamu na kunasa zaidi na my wife wake mdogo cacico. Wale wengine wakaungana na kama mnavyoona hata hapa hamumuoni. Kwa muongozo wakeze ni cacico, Yummy, BADILI TABIA na Kongosho aliye pia msimamizi wao.
Ushauri; Auguze wake au azingatie zamu. Wewe unamshauri nini? Na kwa makusudi sijamtaja, je umemgundua ni nani????
Source; Mmoja wa wakeze kani-PM.
 
Last edited by a moderator:

Arushaone mzima baba??? ni salamu tu!
 
Last edited by a moderator:
Mbona taarifa kumhusu Dc zinakua kanganya!
Mi nimepigiwa simu juzi na nduguye wa karibu akanieleza alikua amefanyiwa upasuaji wa mnyama mwenye meno yaliotokeza nje!
Na yuko SewaHajji
So which is which!?
 
Take my word Judgement wao wameamua kumkomoa ila kwa latest development news ni kuwa kaaga anakwenda toilet then kasepa kwa speed ya ajabu. Mind you kuwa hakutoka na nguo zaidi ya towel na chini katinga malapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom