TUMSAIDIE MWANA CHIT CHAT MWENZETU. He's really in Trouble.

Sasa wewe nakupa taarifa za ikulu kwa siri, halafu nanitaja. Mimi nikitahiriwa, makuja umiakiri kuwa driver wa watoto wa ile nyumba mdogo yako ya mwananyamala.

King'asti uangalie na watu wa kuwapa siri oohoo.....
 
Last edited by a moderator:
Hapa leo patamu. Nasubiria kusikia fumanizi kwa sabab najua kuna mmoja wa wake zake anajichanganya na ......... na kanipromise leo anamgadaf mtu
 
Dr. Mwakyembe katahiriwa kichwa cha juu.... Source: Kaunga
Profesa Mwandosya katahiriwa ngozi ya kifua..... Source: King'asti
Dr. Ulimboka katahiriwa naniliyu kama naniliyu ya Kanali Gadafi.... Source: snowhite
Mwangosi (RIP) hivi.... ah ngoja niishie hapa na mambo ya kutahiriwa.....

Ila bahati ni kuwa Mbeya haijafikia kiwango ya Chechnya.......
haya mambo si tumeongea tukiwa darasani ,unayaleta huku ili kiwe nini?nikianza kufundisha na wenzio twisheni usilalamike sitimizi wajibu wangu!enh manke na wengine wataanza na mi nataka kipindi nataka kipindi ah!
 
Hakyamungu Asprin wewe! kumbe na ushahidi unao... Mbeya/Iringa tuendako tuwape tu Zambia na Malawi, wanaroho za majabali.

Kumbeeeeh! Hao ni wanaume, bado akinamama wanaokeketwa! Kweli Mby wana bahati mbaya!

Back to the topic:
Asprin toa taarifa hivi ulipoponyoka break ya kwanza CHECHNYIA MBEYA AMA...

..babu ulikumbuka kunywa supu ya pweza..usije kudead kwenye kidonda ndugu..ooh

Hapa leo patamu. Nasubiria kusikia fumanizi kwa sabab najua kuna mmoja wa wake zake anajichanganya na ......... na kanipromise leo anamgadaf mtu

haya mambo si tumeongea tukiwa darasani ,unayaleta huku ili kiwe nini?nikianza kufundisha na wenzio twisheni usilalamike sitimizi wajibu wangu!enh manke na wengine wataanza na mi nataka kipindi nataka kipindi ah!

Acheni longolongo nyie, hebu rudini kule mkanigongee LIKE kwenye ile yuziful post.

Najiandaa kurudi CHECHNYA.

Wasalimieni MBEYA
 
Back
Top Bottom