mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,661
- 5,683
Mjomba umeagizwa! Hayo ni maoni yangu na wewe andika yako tusipangiane.Sasa si ukampigie huyo UK au hamia Kenya ukitaka maana huyu jamaa anamiaka kama saba mbele ka sio miwili na hali hii unaweza pata stroke bure.