Tumezuiliwa kuandamana

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Kwa sababu, usalama wetu utakuwa hatatarini wakiwa watu wengi kwa wakati mmoja.
Mechi ya simba na yanga imefanyika vipi,watu wangapi walihudhuria?
Tofauti iko wapi?au mashabikiki wa mpira kama sisi ni mazezetaaa????????????????????????
 
iko siku tuta washinda tu hawa majuha. yaani wameifanya tanzania isiwe mahala salama pa kuishi
 
Ile ilikuwa ni sababu, ni kama mtu anapotafuta pa kuanzia katika kitu asichokipenda. Hata kama kusingekuwa na tishio la Al Shababy ingetafutwa sababu nyingine na kuyazuia hayo maandamano.
 
tumethibitisha ujumbe umewafikia, ni swala la muda tu minyukano itawagubika magamba.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
acheni woga, mngetaka kuandamana mngeandamana tu hakuna wa kukuzuieni. Unacheza na nguvu ya wananchi tazama maandamano ya Wall Street Marekani, Cairo Misri, Sanaa Yemen, Milan Italia na kwingineko.Tatizo mitanzania mioga
 
Mkuu waoga hapo ni nani kati ya watz na serikali?
 
Back
Top Bottom