Tumetoka mbali

Nimecheka sana. Nakumbuka kwenye bahasha nikuta powder eti. Yaani ndio marash dah. Kweli tumetoka kuleeeeeee
 
Usinikumbushe hii zahama, mana siku moja niliandika kurasa tatu. Mesenja wangu akagoma kuipeleka kwasababu sikumpa posho. Nikaona haijalishi, nikamtafuta demu hadi nikambana kwenye kona ya darasa, acha nianze kumsomea barua niliyomwandikia kurasa hadi kurasa, yaani kama risala mbele ya mgeni rasmi, nilipomaliza..."wasalamu mimi......." demu alikuwa kashayayuka kitamboo, kumbe alimwona mwalimu na akatoweka, mwalimu kumbe kaja kimya kimya na kuchukuwa nafasi ya demu na akawa ndio msikilizaji wa ile barua. Kuinua kichwa namwona mwalimu mbele yangu....sikujuwa kama nilikuwa na-jamba au na-koj-oa au nilishikwa na degedege. Mwalimu kaniambia nimpe barua na niwahi darasani, gafla nikasikia ofisi mzima ya walimu inarindima kwa vicheko...teacher alikwenda kuwasomea ile barua. Kibaya mimi ndio nilikuwa kaka mkuu na demu ni dada mkuu, yakawa makubwa!!! Barua ikawa imebandikwa kwenye ofisi ya walimu...utadhani ni thesis.
 
ha ha ha ha!
 
Mgonjwa..............................umesabisha maumivu makali sana ya mbavu zangu!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
dah umenikumbusha mbali sana kuna jamaa mmoja wakati tuko la pili B alimpa msichana barua basi kale kabinti kakaisoma kalivyomaliza kakakunja uso na kuinuka nayo kwenda staff (ofisi za walimu). Jamaa baada ya kuona hivyo alimkimbilia demu na kuinyakua barua kama mwenye wakati demu ndio kakaribia staff akaenda kuitupa kwenye choo cha shimo

yule demu akaenda kusema bila ushaidi jamaa akakwepa soo
 
Mshikaji wangu alilazimika kutafuna barua mzima na ndani kukikwa na hongo ya shilingi $500. Ile anamaliza tu kulamba bahasha igande ili ampe mesenja teacher mnoko akamwambia "ehh nimekushika ebu leta hiyo baraua hapa", mshikaji akaitafuna "live", teacher akamuwasha kofi zito akizani mshikaji ange-bakua barua...ahh wapi, mshikaji kakomaa kuitafuna na kuimeza. Kineysi chake sijui kilikuwa cha rangi gani baadaye, mana ku-digest note ya sh 500 sio shughuli ndogo!!
 
Usinikumbushe hii zahama, mana siku moja niliandika kurasa tatu. Mesenja wangu akagoma kuipeleka kwasababu sikumpa posho. Nikaona haijalishi, nikamtafuta demu hadi nikambana kwenye kona ya darasa, acha nianze kumsomea barua niliyomwandikia kurasa hadi kurasa, yaani kama risala mbele ya mgeni rasmi, nilipomaliza..."wasalamu mimi......." demu alikuwa kashayayuka kitamboo, kumbe alimwona mwalimu na akatoweka, mwalimu kumbe kaja kimya kimya na kuchukuwa nafasi ya demu na akawa ndio msikilizaji wa ile barua. Kuinua kichwa namwona mwalimu mbele yangu....sikujuwa kama nilikuwa na-jamba au na-koj-oa au nilishikwa na degedege. Mwalimu kaniambia nimpe barua na niwahi darasani, gafla nikasikia ofisi mzima ya walimu inarindima kwa vicheko...teacher alikwenda kuwasomea ile barua. Kibaya mimi ndio nilikuwa kaka mkuu na demu ni dada mkuu, yakawa makubwa!!! Barua ikawa imebandikwa kwenye ofisi ya walimu...utadhani ni thesis.
hahhaaaaa... mkuu umenivunja mbavu

BTW, ulikua wapi siku zote hizi??? tulikumisi sana
 
Du kaaazi kwelikweli. Ila kwa upande wangu ni tofauti kidogo maana mimi ndio nilikuwa naandikiwa barua kibao na totoz.
 
HAHAHAHAHAAHAHA...!

YANI HIZI SIMU ZIMETUHARIBIA SAAAAANA..!
unakuta barua ilitumwa kama mwezi uliopita ndo unaipata ukiwa boarding skul.
basi unaanza kumsifia demu mbele ya marafiki, kumbe demu mwenyewe kiporiii...! yani kuku wa kienyeji :becky::becky::becky:
 
Sasa mimi nilikuwa napenda barua nimeandikiwa na demu nikiwa boarding school, juu ya bahasha inasomeka hivi:

To: MgonjwaUkimwi
Form three D
JF secondary school
P.O. Box 5555 Muleba
Kagera
United republic of Tanzania
East Africa
African continent
Earth

Muandiko ni ule wa kulala chali!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom