Mashabiki wa CR Belouidad tujuane!

Mechi haina droo hii leo kremuni hii commente. Sasa nan anafungwa ndo kitendawili. Ijapo mm shabik wa simba naipa yanga 60% na cr 40%. hapa nimetumia akil zangu za ukamaria
 
Back
Top Bottom