- Tumetoka Mbali -

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
once again guys.... nina kwikwi ya picha - i'm not sure kama mtaiona.

timetokambali.gif
 
guys tell me if you can view this picture....kama haionekani basi bado nina kwikwi ya ku attach picha.
 
help plse!! is anyone there? kwikwi ya picha.......just give me steps how to paste a picture.. pakajimmy you there?
 
Usihofu kwenye handset ni tambarare OSAMA kumbe ameiga mzuzu kwa Mwadosya na mkulu naye hiyo babeyface!!!!!
 
hahaha, hawa jamaa kweli wametoka mbali. halafu kumbe walikuwa marafiki hivyo, na hadi leo hawaachani tu....kupeana vyeo, professor badala ya kufundisha wanafunzi anakuwa waziri, material kichwani yatabaki kweli, si ameshasahau hivyo na jina libadilishwe?
 
imenivutia sana hii picha, inaonekana JK alikuwa bado kijana na mwandosya at that time nafikiri alikuwa mwalimu pale chuo idara ya Uhandisi umeme. kweli zimwi likujualo halikuli likakumaliza.

Hapa sina uhakika kama JK alikuwa anawazo kwamba atakuwa Rais wa nchi hii pia sina uhakika kama mwandosya alifikiria siku moja ataachana na ualimu aingie kwenye siasa zetu za kibongo za ki mkanda mkanda.. Yeah wametoka mbali.

Katika Mawaziri huyu Mwandosya na mwezie Mwakyusa wako makini kwa kazi zao ukiringanisha na wenzao wa awamu hii --- mmmhh ni nyongeza tu hii si key point yangu ni mtazamo tu msije mkaniambia ni-justfy - sina vielelezo vya kuambatanisha kwa sasa wakuu, ni mtazamo tu.
 
Hawa jamaa kwa sasa si marafiki tena kama mnavyoweza kufikiria. Walikorofishana wakati JK akiwa waziri wa nishati na madini na Mwandosya akiwa katibu mkuu wa wizara hiyo. Inasemekana Mwandosya alionyesha dharau ya hali ya juu kwa JK kiasi kwamba akaamua kuacha ukatibu mkuu akarudi kufundisha UDSM. Kuwemo kwake kwenye baraza la mawaziri ni shinikizo la Sheini vinginevyo angetupwa nje maana JK alikuwa hataki hata kusikia jina la Mwandosya, ndo maana unaona hata wizara anazopewa ni zile zisizo nyeti sana.
 
help plse!! is anyone there? kwikwi ya picha.......just give me steps how to paste a picture.. pakajimmy you there?
mkuu nimeweka post mbili zikiwa na attachment ya hizo picha,lakini ndio kwanza umecopy na ku edit kwenye thread yako,kisha umedileti post zangu! poa lakini sio vizuri kudileti post.
 
picha inaonekana vyema, huyo si ni JK ndani ya kapipa kadogoooooo!
 
mkuu nimeweka post mbili zikiwa na attachment ya hizo picha,lakini ndio kwanza umecopy na ku edit kwenye thread yako,kisha umedileti post zangu! poa lakini sio vizuri kudileti post.
lol, who owns the copyright? jf? babukijana?elnino?
 
pape kuna mtu kacheza mchezo mchafu hapa,nilikua nasubiri ka thanx toka kwa EL-NINO,lakini ndo kwanza hata hizo post nimeweka hazipo.
Uliweka post gani mkuu? unahisi umeonewa? nakushauri kwamba ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe mkuu!
 
mkuu nimeweka post mbili zikiwa na attachment ya hizo picha,lakini ndio kwanza umecopy na ku edit kwenye thread yako,kisha umedileti post zangu! poa lakini sio vizuri kudileti post.

Babukijana, usimlaumu ELNINO kwani hana uwezo wa ku-delete post ya mtu mwingine? Ni mods (administrators) tu ndo wenye uwezo wa kufanya hivyo na wewe mwenyewe uliyeweka hiyo post. Inaonekana kuwa mods wamehamisha hii thread toka ilikokuwa (habari mchanganyiko) kuja hapa jukwaa la picha na wameona post zako zenye picha ni dublicate huenda ndo maana wamezifuta.
 
Haya mengi yaendelea kuibuka!
 
Back
Top Bottom