Ndetirima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,008
- 784
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.
Poleni sana ndugu, jamaa, marafiki na wana JF wote kwa msiba huu mwingine, tumuombe Mungu Baba Mwenye Nguvu Mungu wa Milele atufariji na kutupa utulivu kwenye kipindi hiki kigumu.