Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^^^^^^^^^^^^^^^^
sipendi matapeli wasiojua kutapeli yaani wanaotaka kunifanya mimi mjinga live kama waandika uongo mitandaoni na ukiwa katika maongezi nao

nani tapeli hapa ?
 
alisahau kulock ndo maana ikafetuka . Na alikuwa akiendesha gari kwa hyo ikapiga maeneo ya tumboni.

Mguuni upande wa Nje ni mahali Muafaka kabisa,
Tena ikiwa imeelekezwa chini.
Nina mwaka sasa kitu kiko mguuni na hakuna kokoro wala nini.
Anyway, R.I.P Kamanda
 
Haya madude sitaki kukaa nayo karibu kabisa. Pumzika kwa amani Godson, Mungu kakupenda zaidi
 
Repota ameriport vyema lakini kwa bahati mbaya/makusudi amepotosha kwa kiasi kikubwa,

Marehemu hakuwa ameiweka kiunoni na ilikuwa kwenye droo ya dash board ya gari na alikuwa ametoka kumpokea rafikiake airport na si huko mza kama alivyoriport,

marehemu alimwambia rafiki yake aliyetoka kumpokea kuwa nimeshavuta chuma na akampatia kuiangalia kwa kuwa jamaa alikuwa kiti cha nyuma katika kuangalia angalia akawa amebonyeza trigger hakuwa akijua kuwa kuna risasi moja ambayo ilikuwa tayari kwenye pipeline tayari kwa matumizi (wakati marehemu anampa bastola alitoa magazine)
Ni hiyo risasi moja ambayo hakuna aliyejua imebakia hivyo ikapita kiti cha nyuma na kumpiga jamaa kupitia mgongoni ikaharibu sana sehemu zake za siri,

Na bastola hii hakuwa ameinunua muda mrefu haipiti wiki moja toka ameinunua, waliokuwa ndani ya gari walikuwa watatu marehemu, rafikiake, na aliyekuwa ametoka kupokelewa pia akiwa ni rafikiake,

Maneno ya mwisho mwisho ya marehemu alisema bastola nimenunua mwenyewe na imeniua mimi mwenyewe, nawaomba sana msikubali kusema kuwa wewe ndio umenipiga, please please,

Aliyeifyatua kwa bahati mbaya au pasipo kujua kuwa kuna risasi imebakia hadi sasa anashikiliwa na polisi
Lakini kiukweli hakuna anayefuatilia kwa kudhania alimpiga makusudi,

Unaweza kumwangalia marehemu via facebook Godson Mollel,

Nimeandika bila mpangilio lakini mtakuwa mmenisoma.
 
Duh! Sasa huyu rafikiye anashikiliwa na police mpk leo?
Ama wamemhoji tu wakamwachia?
Na mzishi ya marehemu Godson yameshafanyika?
 
Wana jamii tumeondokewa na mwanajamii mwenzetu jana kwa ajali mwanza. Juzi Alikuwa akiendesha gari galfa bastola aliyokuwa nayo kiunoni ikalipuka ikampiga tumboni .anafanyanya kazi T.r.a musoma lakini ana makazi mwanza . Nyumbani hasa ni Arusha kwa ngulelo. Sijajua alikuwa anatumia username gani lakini ni mwanachama wa jamii forum. Jina lake ni Godson mollel . Ni binamu yangu . R.i.p bro.

Uptodates
KWA WANA JF WA ARUSHA BRANCH WANAOPENDA KUMWAGA MWANA JF MWENZETU, MAREHEMU ATAAGWA LEO NA IBADA ITAFANYIKA KANISA LA KIMANDOLU KUANZIA SAA 5 ASUBUHI NA BADAE MAZISHI YATAFANYIKA MAKABURI YA FAMILIA NYUMBANI KWAO MAENEO YA NGULELO.
BWANA AMETOA BWANA AMETWA !

Nilikuwa musoma wiki iliyopita hii habari imevuma kuwa huyu jamaa alinunua bastola mpya wakiwa na rafiki yake mmoja hivi wanaitest ikaripuka ikampata jamaa. Huyu jamaa amekuwa na maisha mabaya sana musoma, maana alikuwa ndo ametoka kumgonga mtu na kumuua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom