Tumeondokewa na mwana jf mwingine.

Ndio unajinadi kwamba tujuwe umeolewa au!!?? sifa za kijinga.

Haa kumbe hapa jf mtua akitaja mume dhambi? We matola vipi kwann umwambie sifa za kijinga? Its killing you ee? Kweli wonders shall never end jamani!
 
pole kwa wafiwa jamani mi nimecheck fb mbona namuona ambaye mpaka 5 hrs zilizopita alikuwa fb! Itakuwa sio uyo ee? Tatizo ili jina nadhani waarusha wengi wanalitumia..
 
RIP Mollel
What happened, after the accidental shooting, Gari ilisimama au? Alikuwa mwenyewe kwenye gari?
 
Kafute mchango wako huo wa mawazo mgando,
Nina ndugu zangu wengi ni wanachama wa JF lakini sijui wanatumia majina gani.
hata mimi nina rafiki zangu wengi sana lakini sijui ID zao lakini ninauhakika 100% kuwa ni member wa JF.....
 
Hivi mpaka sasa hivi hizi habari bado ni chenga?? hili ndilo tatizo la kwanza kuja na ID fake, ikitokea dharrura watu wanataftana!! anyway RIP Broda!!
 
Jamani huu mwaka 2012 lol
Mungu aendelee kutuongoza
RIP member mwenzetu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
 
Mode hakuna namna ya kujua ID yake jamani hata kwa kutrace birthdate kama anajaza ya ukwel!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom