EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Vile vile ukubwa wa Tanganyika hauikoseshi sifa ya kuwa nchi kamili na wala sio sehemu ya Zanzibar by whatever means you are trying to kill Tanganyika and christianity you will never succeed it is illogical for over 40 millions Tanganyikans to be represented by 15 and not more than 2million Zanzibaris to be represented by the same number of 15 and at the same time in the region where christians are more than 70 percent of the whole population to be overidden by the minority in the population.
Kwa mfano, kama wewe ndiye uliyekuwa na madaraka ya kuunda hiyo tume ungeteua watu gani? Una maana kuwa ungeteua watu kulingana na dini zao? Udini ndio kigezo? Kwa vile Wakristu ni wengi basi pia weteuliwe wengi kwenye tume? Unaweza kutupa mchanganuo wako jinsi ambavyo ungeteua hao watu ili kuepuka kuua Utanganyka na Ukristu unaousema?
Halafu nani kakwambia Wakristo ni wengi kuliko Waislamu? Hiyo 70% umeipata wapi?