Tume ya kupanga ADA za shule binafisi.

Hapo itabidi HakiElimu, TAMWA, TGNP, Kituo cha Haki za Binadamu na wazazi wenye kipato cha chini, wote kwa pamoja wapigane kikumbo na wamiliki ambao nusu yao ni wanasiasa ili kufanikiwa katika hili swala.

Kwa ufupi bei elekezi inawezekana kukiwa na chombo kama ewura kusimamia utekelezaji, hivyo ni ishu ya mswada kupelekwa bungeni na kutungwa sheria, ni mlolongo mrefu kama kupata katiba mpya....wadau wakae chini wajadili bei elekezi...ipitishwe na kurejewa kila baada ya miezi6 kuendana na mfumuko wa bei....hivyo Ada hizo kuanza January 2013 baaado saaana...
 
Hapa ni ubabaishaji wa Serikali badala ya kutumia nguvu nyingi kuimarisha shule zake na hasa zile za kata wao wanajibebesha mizigo ya kushughulikia shule binafsi. Huu ni upuuzi na mpiga filimbo mkubwa ni 'Intellectual Mulugo" nimemskia siku nyingi sana akiongela hili na hata bungeni aliongea. Jamani niongee machache tu kuhusiana na hili. 1. Shule za watu binafsi ni biashara kama biashara zingine na wengi wa wenye shule wamekopa bank ili kuendesha shule hizo, mikopo yao bank ilienda pamoja na michanganuo inayoonesha mapato na matumizi ya shule hizo. Leo hii ukipanga ada moja je mkopo bank utalipa wewe serikali? 2. Shule za watu binafsi zinatofautiana sana kwa huduma, wengine wanampaka magari ya kubeba watoto toka majumbani, wengine wanawalaza na kuwapa balanced diet, wengine wanatoa kabechi tu, hivi si busara kila shule ikatoza ada yake kutokana na huduma wanazotoa? 3. Quality of education offered in these private schools varies so much from one to another. Leo hii St. Marian ya Bagamoyo wakatoze ada sawa na St. Mulogo aka Mbeya Highland shule inayochanganya sekondary na chuo, kuna haki hapa. Nne, kuna mzazi analazimishwa kumpeleka mtoto wake private school? Tano na mwisho kwa sasa mbona kwenye sekta zingine wapo kimya? Kwanini tusisikie hospital nazo zinawekewa viwango tutrot fasta kwenda aghakhan kucheck afya zetu? Mbona hatusikii hotel zote zikiwekewa viwango sawa ili twende kempski tukapate kill za baridi na sisi? Hata uwanja wa taifa mbona wameweka madaraja wanafikiri sisi hatupendi kukaa pale anapokaaga baba Riziwani akija taifa? Hata kwenye mambo yetu bei tofauti toka zako Mbagala chalambe uzuke Masaki au posta ujifanye unajua utakuta bei ni toafuti. So watu wa elimu wawe serious na tuliyowatuma na sio kufuatilia machimbo binafsi.
 
Hapo itabidi HakiElimu, TAMWA, TGNP, Kituo cha Haki za Binadamu na wazazi wenye kipato cha chini, wote kwa pamoja wapigane kikumbo na wamiliki ambao nusu yao ni wanasiasa ili kufanikiwa katika hili swala.

Kwa ufupi bei elekezi inawezekana kukiwa na chombo kama ewura kusimamia utekelezaji, hivyo ni ishu ya mswada kupelekwa bungeni na kutungwa sheria, ni mlolongo mrefu kama kupata katiba mpya....wadau wakae chini wajadili bei elekezi...ipitishwe na kurejewa kila baada ya miezi6 kuendana na mfumuko wa bei....hivyo Ada hizo kuanza January 2013 baaado saaana...
 
Umakini mkubwa unahitajika sana hapa pamoja na busara...sidhani kama bei ikishuka quality itasalimika though baadhi ya shule it is too much....mara tatu ya university bhana.
 
serikali inataka kufanya pumba zmeishaitwa private xul sasa utasemaje upange ada,hafu pia halazmshwi mtu kwenda kumpeleka mtoto wake kwenye hzo shule
 
Kwani serekali inatoa ruzuku ili kusaidia uendeshaji wa private schools?Kama wanatoa ruzuku na wapange hicho kiwango cha ada
 
Back
Top Bottom