TUME YA AJIRA: Zingatia kupunguza ukabila katika ajira mpyaa...PLEASE!"!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
hey
najua kuna makabila yanafaidi hii nchi, kama shemeji zangu wa KIBOROLONI, NA BIHARAMULO.......

sasa na mimi MMAKONDE wa NEWALA nataka kazi hiyo ya UAFSA PESA.. wa mangi....

mfano: asilimia 99% ya wasomi vijana wa hapa MTWARA VIJIJINI hawana kazi za maana, hakuna wa kuwabeba!!

Yaan makampuni ya mafuta, gesi, uvuvi na cement ni wageni tupuuuu""!!!!!!

MTWARA OYEEEEEEEEEEEEEEEeeeeddde
 
You said good, wenye akili tumekuelewa, lakini kuna watu wataanza kashfa punde tu....Mtwara is real fast growing region which is goin to hold the country economy...So its people should get into it.
 
Kaka Sizinga,
thenk yuuuuuu
nasubir waje kunitukana, najua siku c nyingi kutatokea uasi huku
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana hiyo cv zitizamwe kikabila zaidi siyo? Hebu nishawishi zaid nikuelewe. Kwa kifupi kama huo ndo mtazamo wako utahangaika sana! Hao unaowasema katizame cv zao kama hutakimbia! kufaulu wafaulu wao kazi mpate wengine! eti ukabila!!!! Yaani utadhani ni hawa ndugu zangu wanaotaka usahishwaji wa mitihani uzingatie nanihiii badala ya majibu sahihi? Hebu achaga hizo zilishapitwa na wakati!
 
haaaaa....

Umeongeza chingine DINI

vyote viwili vizingatiwee......

duuuuuuu!"""""""""""""""
 
kwa mara ya kwanza nimegundua kuwa kupitia TUME ya ajira fairness is observed, tofauti na hapo nyuma ambapo ilikuwa kazi inatangazwa tayari ishakuwa na mwenyewe. Naona hali itakuwa shwari muda si mrefu, na kila aliye na sifa za kuajiriwa ataajiriwa kulingana na sifa alizonazo. My take
 
nani kakudanganya mkuu hakuna ufair wowte sema tu msiojua chini ya kapeti kuna nini ndio mtasema saizi kuna ufair
 
hey
najua kuna makabila yanafaidi hii nchi, kama shemeji zangu wa KIBOROLONI, NA BIHARAMULO.......

sasa na mimi MMAKONDE wa NEWALA nataka kazi hiyo ya UAFSA PESA.. wa mangi....

mfano: asilimia 99% ya wasomi vijana wa hapa MTWARA VIJIJINI hawana kazi za maana, hakuna wa kuwabeba!!

Yaan makampuni ya mafuta, gesi, uvuvi na cement ni wageni tupuuuu""!!!!!!

MTWARA OYEEEEEEEEEEEEEEEeeeeddde

Mbona mimi siyo mtu wa maeneo uliyo yataja lakini ilipotangazwa kazi wao walikuja kwenye Interview tulishindanishwa kwenye Interview nikaibuka kidedea, kwa ufupi tuache kuingiza ukabila kwenye ajira tuangalie zaidi sifa, kama umetangaza nafasi kumi wakatokea wachaga kumi wameshinda nikuwachukua tuu. labda kama mchanganyiko wa makabila ni requirement ya kazi.:confused2::confused2:
 
nani kakudanganya mkuu hakuna ufair wowte sema tu msiojua chini ya kapeti kuna nini ndio mtasema saizi kuna ufair

Sijandanganywa na mtu my dear, nime-expereince hii. Nami nlikuwa na fikra kama za wengi kuwa there is no fairness, lakini nimeshuhudia, ni kweli kupitia tume ya ajira walau hata wasio na tumaini waweza kubahatika. VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
  • Thanks
Reactions: GP
Inferiority complexion!

Tayari umeshajua huna vigezo sasa unaanza kutafuta sababu. Go out, get exposed ndio utajiongezea sifa. Umekaa Newala unasubiri aje mwajiri ambaye yeye kipaumbele chake ni Wamakonde, kalaghabaho!
 
Naomba nikuulize ww na wenzio ambao hamna ajira,

1.matangazo ya kazi yakitangazwa mnaomba lakini?
2. Mpaka sasa hivi ushatuma application ngapi kwenye tume ya ajira na kwingineko?
3. Mnafuatilia kwa karibu matangazo ya ajira?
4. short list za ntaview mnafuatilia?

my take: Ukituma application lazima ujue lin wanafanya intvyu.

kuna rafiki yangu keshakosa zaidi ya intvyu 3, coz afuatilii. Wametoa short list gazetin yy hanunui gazet wala kufuatilia mitandaoni anasubiri apigiwe sim wakati ytangazo aliliona gazetin.Sim yake kimeo kila wakati inazima alafu bado anabaki kulalamika tuuuuuu!!!

mtabaki manalalamika wakati wenzenu wanasonga kwa kas ya ajabu.

hizi nafas za ajira juzjuz kuna watu tumeshatuma zaidi ya barua 50 ndani ya mwezi 1, je ww umetuma ngap? kwa wale wanaojua hesabu za probability jibu washajua nani kat yangu na ww ana uwezekano mkubwa kwa kulamba ajira.
TAKECARE
 
Huna jipya zaidi ya kujitia ujinga. Endelea kutupa nafasi. Si tunasonga mbele 2.
 
TZ haina ukabila sa cjui uo mtazamo wako unautoa wapi. Be positive and you will win ila ukianza kujijengea hiyo mitazamo, hutafika.
 
Back
Top Bottom