Tumaini university yabadili rasmi jina la chuo!

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,155
441
Tumaini University imebadili rasmi jina lake. Sasa kitatambulika kama Tumaini Makumira University. Pia campus kuu itakuwa Usa River Arusha.

Je, kwa hatua hii ubora wa elimu utaongezeka? Au nini agenda nyuma ya uamuzi huu?

Source: Mwananchi ya leo
 
Tumaini ziko nyingi sasa ipi imebadilisha au ile ya Arusha??Moshi au?
 
ubora wa elimu haubadilishwi kwa jina, ni uboreshaji wa mitaala, kuweka walimu wenye sifa husika na uzoefu kazini, mazingira safi yakusomea and the like.. kwani Tanzania tukibadili jina la nchi ndo ubora wa nchi utabadilika???
 
Naamini inaweza kuwa mbinu za kibiashara. Katiak biashara, ikiwa kampuni haina mvuto kwa wateja huwa inabadilishwa jina na baadhi ya vitendea kazi, kisha matangazo na ofa nyingi hutangazwa.
 
Back
Top Bottom