Tumain University Matapeli!!!!!

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Nasikiliza sakata la wanafunzi wa Tumaini University Moshi-East African Radio, wanafunzi waliomba kozi ya Public Administration (Degree) walipofika chuo wanafundishwa Office management (degree)

1. Wanafunzi walipelekwa na TCU huko kwa kozi hiyo walipofuatilia sakata hilo imeonekana TCU wame conspire na Tumain kuwalaghai wanafunzi ili wapate pesa

2. Askofu (owner) amewakimbia wanafunzi japo wamelipa around 1.6mil annual tuition fee

3. Mkuu wa chuo amekataa kukutana na wanafunzi inaonekana hana majibu ni tapeli fulani hivi...

4. Mkuu wa mkoa ame conspire na Askofu na mkuu wa chuo amewatosa wananchi anaogopa nini??

Wanfunzi hawana cha kufanya, utapelei mpaka vyuo vya kanisa? tutafika kweli?
 
Mbona ndiyo kozi bomba kuliko hiyo ya Puplic Adm,hawa ndiyo watakuwa watanzania wa kwanza kuwa na degree ya Office management,kazi walawala,tena ngoja nimueleze mdogo wangu ana diploma ya Off Man`gnt mwakani aombe awe na degree ingawa hivi sasa ana kazi bomba ile mbaya mshahara unaridhisha tena serikalini.
 
Tatizo siyo uzuri au ubaya wa kozi...ni choice kwanini udanganye?? utapeli watu ili upate pesa

Ingekuwa nzuri wasinge conspire na watu wote ili wapate ku-enroll

Peleka mdogo wako..ni sawa kutapeliwa au siyo kazi kwelikweli?
 
We Muro umeenda OP,mleta mada anaongelea utapeli,uzandiki wa mtu kuomba mkate akapewa jiwe,wewe unakuja na mada mpya ya kulinganisha ubora wa kozi na kozi...umechemka kiongozi,kuna baadhi ya vyuo ambavyo ni sawa na tuition centres,havina ratiba,havina waadhiri,havina course outlines n.k yaani balaa,alafu cha ajabu unamkuta VC anahold PhD,inakuwa sinema kama za akina Rambo,

acheni ukanjanja,ubabaishaji,wekeni kozi mnazojua mtaweza kufundisha siyo kuleta siasa kwenye elimu,tena at the intellectual level,na bado mnatoa elimu at that expenses
 
Tena watu wazima wanawadanganya watoto wa kitanzania wanalipa pesa kwa shida sana..mbaya taasisi yenyewe ya kanisa na serikali (TCU) wanapiga chenga

Kuna mama anaitwa mama Damian anahojiwa je kwanini mlipeleka wanafunzi wakati chuo hicho hakijasajili hiyo kozi anakataa kujibu maswali ya mwandishi..

Wanafunzi wana habari kuwa TCU uliongea (utapeli) na Tumaini wapeleka wanafuzi huko kwa jina kozi ambayo hawana uwezo wa kufundisha ili wapate wanafunzi kwakuwa office management hawajapata wanafunzi miaka mingi shame!
 
Heri yamezibuka mapema ili mwaka huu TCU wawatendee haki wanafunzi na vyuo vikuu vyote Tanzania kwani utapeli wao tunaujua sana.
 
mbona wanafunzi wamechelewa hivyo kugoma, huo ni wizi na udanganyifu, Prof Nkunya wa TCU is accountable for this shit.
 
sasa hao wanafunzi walikuwa wapi muda wote mpaka muda sasa hivi umepita, walitakiwa wakasue t.c.u pamoja na chuo husika maana hiyo ni ubabaishaishaji kuwa admitted kwa kozi hii alafu unaenda kufundishwa kozi nyingine...waangalie uwezekano wakutake legal actions
 
Back
Top Bottom