Tulizana!!! Tuko wangapi??

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,721
68,726
Sikia Hii,preta ana mme wake ritz,pia pretta anatoka na rejao,rejao anatembea na smile ambae ni nyumba ndogo ya ritz,naye smile yupo na erickb52 ambaye ni mpenzi wa cantalsia ambaye ana mapedeshee wenye wake zao ambao wake zao wana mabwana ambao hao mabwana wana mademu wengine ambao wana mabwana zao,Je mtandao wako ni upi?? Tulizana!!!
 
KK ahsante kwa tahadhari,ni vyema kabisa kukumbushana mara kwa mara....ila mifano uliyotoa mmmmhhhh haya.
 
Sikia Hii,preta ana mme wake ritz,pia pretta anatoka na rejao,rejao anatembea na smile ambae ni nyumba ndogo ya ritz,naye smile yupo na erickb52 ambaye ni mpenzi wa cantalsia ambaye ana mapedeshee wenye wake zao ambao wake zao wana mabwana ambao hao mabwana wana mademu wengine ambao wana mabwana zao,Je mtandao wako ni upi?? Tulizana!!!

King Kong III, wewe unaingia sehemu gani kwenye huo mtandao??
 
Last edited by a moderator:
Hilo tangazo kila nikilisikia najiona mhalifu coz wametumia jina langu kati ya yaliyotajwa.
 
Kingmairo huenda nawe una mtandao kama haumo kuwa mwangalifu na wamefanya vyema kwan ukitaka kuingia kwny huo mtandao unatapa ka-alert automatikale unasitisha zoez!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom