Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

View attachment 329754

Mkuu Ngaliba Dume toka mababu zetu huko miaka na miaka wamekuwa wakibanwa na wazungu wakati wa uchimbaji mpaka uchambuaji wa almasi...Mababu zetu walishuhudia almasi ikichimbwa na kusafirishwa kwa ndege kwenda nje ya nchi...Kilichobaki ilikuwa ni kuingia na "kuiba" ili nasi tufaidikepo kidogo...Hebu tazama hapa babu zetu wakichambua almasi huku wakiwa wamesimamiwa kwa nguvu ya polisi
Hapo mtu huchukuii hata vumbi
 
Duhh kweli kuna mapito.
By the way niko naandaa document ya child protection-Tanzania. Uzi wako umenisaidia sana sana. Sema sijajua km bado child labor inaendelea hapo kwa kiwango kile kile cha kipindi chenu (wameiandikia mno ila sio kwa kiasi ulivyoeleza ndo maana nimekuuliza)
naomba unitag part 2 pls.
 
Haya mstaraabu mwenye maguvu, ila jamaa yako mwongo mkubwa na stori ya kutunga.

By the way huu ulimwengu wa leo ni wa akili mshamba wewe, utabaki na maguvu yako yasiyokuwa na tija mwisho utaishia kupigwa risasi kwa kuvamia maeneo usoruhusiwa kuingia.
Watoto mliokulia kota ninyi,mnawaza ki-spoon feeding tu...Acha wanaume waelezee harakati zao na wewe watetee hao mabos zako ukafikiri na wao wanaungana nawe...Kujidai unajuwa kila kitu mpaka unajichanganya!!
 
Duhh kweli kuna mapito.
By the way niko naandaa document ya child protection-Tanzania. Uzi wako umenisaidia sana sana. Sema sijajua km bado child labor inaendelea hapo kwa kiwango kile kile cha kipindi chenu (wameiandikia mno ila sio kwa kiasi ulivyoeleza ndo maana nimekuuliza)
naomba unitag part 2 pls.
Nakushauri ujaribu kwenda hata leo maeneo ya Mwadui mgoni vijana hawasomi kazi yao ni hiyo,tena kwasasa kuna Mganga anaitwa MWANAHUMBU ukienda anakuhakikshia utapa alimasi..Na vifo kwa wabheshi ni vingi,nenda kituo cha polisi Maganzo utakuta hzo kesi.
 
Kwa hiyo mkuu Ntaluke.N. bila mganga hawa watu hawawezi kuiba hizo almasi??Daah basi huyu barafu atakuwa "kachanjwa sana chale za mnduku"
 
Waambie hao mkuu Ntaluke.N. wengine wanafikiri tunayoyaeleza hapa ni story za kutunga...na hapa tumesimulia machache tu kati ya mengi yaliyofanyika na kuyashuhudia
 
Nakushauri ujaribu kwenda hata leo maeneo ya Mwadui mgoni vijana hawasomi kazi yao ni hiyo,tena kwasasa kuna Mganga anaitwa MWANAHUMBU ukienda anakuhakikshia utapa alimasi..Na vifo kwa wabheshi ni vingi,nenda kituo cha polisi Maganzo utakuta hzo kesi.
Asante sana kwa hii info...
focus yangu ni under 18
 
Kwa hiyo mkuu Ntaluke.N. bila mganga hawa watu hawawezi kuiba hizo almasi??Daah basi huyu barafu atakuwa "kachanjwa sana chale za mnduku"
Kwa hiyo mkuu Ntaluke.N. bila mganga hawa watu hawawezi kuiba hizo almasi??Daah basi huyu barafu atakuwa "kachanjwa sana chale za mnduku"
Kwa hiyo mkuu Ntaluke.N. bila mganga hawa watu hawawezi kuiba hizo almasi??Daah basi huyu barafu atakuwa "kachanjwa sana chale za mnduku"
Kwa hiyo mkuu Ntaluke.N. bila mganga hawa watu hawawezi kuiba hizo almasi??Sio tu kuiba hata ukiipata almasi lazima uitunze kwa dawa vinginezo unaamka haipo..
 
Nimepitia hii thread leo,ikanokumbusha miaka 14 nyuma,i was very innocent girl,mchamungu sana.basi uncle wangu alipata zali la madini ya tanzanite,akarudi nayo home akayatia kwenye kifuko ,anakikabidhi niweke room kwangu.

Akawa akiwa na hitaji la hela anakuja ananiomba kile kifuko anatoa jiwe moja anaenda uza na kula ujana.
Hakuna aliyejua kuwa madini yake kanipa mie nimhifadhie kwani i was very innocent,religious and secretive.na sikuwahi mwambia yeyote,ila bibi yangu ambaye naye alikuwa so innocent and religious kama mie.

Basi sijui ilikuwaje mama mdogo akaja akapata habari kuwa mzigo wa mjomba nimemhifadhia .Akanijia na maneno matamu na sermon like your uncle anafuja hii mali,ikiisha hata nawe hutakuwa na future.

That time nilikuwa form 1 0r 2,akanambia nifanye niwezalo nichukue hata 2 to 3 pieces,nimpe for the benefit of the family.nikawaza sana bt being naive and all nilifanya hivyo.

Uncle hakuwahi stukia mchezo coz alinitrust sana,ukimtoa grandma mtu mwingine aliyemtrust was me.baada ya muda yakawa yameisha zimebaki chenga.

Kumbe miongoni mwa yale nilochukua nikampatia mama indigo ndio yalikuwa the most valued tanzanite,ila mama mdogo baada ya kumpa vipande vile vya mawe alinijia na story kuwa nilichukuwa valueless stones so they got nothing from them.

To cut the long story short,uncle alikuja gundua walimchukulia mawe yake,na ikaleta uhasama mkubwa kwa family.

Dah time flies,and since then i hate mineral business.
 
Back
Top Bottom