Tulisusie gazeti la Habari Leo, halina utaifa, lipo kichama zaidi

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Kichwa cha habari hii leo chajieleza,eti CHADEMA YAMWAGA DAMU..ikiwa pia na lengo la kumbeba Mwigulu ambaye aliratibu mauaji hayo kwa njia ya simu.Tunapenda kuwaeleza wakala wa magazeti ya serikali TSN kuwa wanaokamuliwa kodi hawana itikadi moja,na hilo gazeti lao watambue kuwa hapa arusha haliuzi hata nakala 60 bcoz'f bias.
 
hilo gazeti huwa silionagi kwenye stands za magazeti likiuzwa. wateja wao wakubwa ni maofisi ya serikali basi. nani anunue huo utumbo?
 
Ilo gazeti hakuna mtu mwenye akili anayelisoma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siku za nyuma nilhkuwa nanunua nanyofoa ukurasa wa nafasi za kazi,siku hizi sikumbuki hata linafananaje
 
Kichwa cha habari hii leo chajieleza,eti CHADEMA YAMWAGA DAMU..ikiwa pia na lengo la kumbeba Mwigulu ambaye aliratibu mauaji hayo kwa njia ya simu.Tunapenda kuwaeleza wakala wa magazeti ya serikali TSN kuwa wanaokamuliwa kodi hawana itikadi moja,na hilo gazeti lao watambue kuwa hapa arusha haliuzi hata nakala 60 bcoz'f bias.

Kisa wameandika habari -ve kuhusu CDM ndo unataka wasuse?
Ila habari ingekuwa CCM yamwaga damu mngekuja kusema habari leo sasa ni Wazalendo.
 
Na sidhani mtu asiye na akili anajua kusoma..

kujua kusoma sio kuwa na akili, kuwa na akili ni kuwa na uwezo wa kutafakari, kuchambua na kugundua zuri na baya katika maandishi uliyosoma. Nitakupa mfano kwenye dini yangu ya KRISTO.

Dini hii imekuwa na watu wengi hovyo, ndio maana tumegawanyika ili hali wote tunamtaja KRISTO. Sababu ya hali hii, ni kwa kuwa kuna watu wanajua kusoma na kuandika, lakini wanayoyasoma hawayafanyii kazi, hawatafakari MUNGU alikusudia nini, kila mtu anakuja na upuuzi wake, ndiyo maana tumegawanyika.

Leo hii ni vigumu kwa muluther kumweka pamoja na TAG, TAG hawezi kuelewana na Roman Catholic, Anglicana na PEFA na wengine wengi japokuwa biblia ni ile ile moja, na masihi ni yule yule mmoja. Haya yanadhihirisha kujua kusoma na kuandika siyo kuwa na akili
 
Kichwa cha habari hii leo chajieleza,eti CHADEMA YAMWAGA DAMU..ikiwa pia na lengo la kumbeba Mwigulu ambaye aliratibu mauaji hayo kwa njia ya simu.Tunapenda kuwaeleza wakala wa magazeti ya serikali TSN kuwa wanaokamuliwa kodi hawana itikadi moja,na hilo gazeti lao watambue kuwa hapa arusha haliuzi hata nakala 60 bcoz'f bias.
Mhariri Mkuu wa Hilo Paper ni kada mahiri wa chama cha mabwepande, unategemea nini Mkuu?
 
Hivi kuna watu bado tu mnalinunua na kulisoma gazeti hilo. Basi nawashauri mnunue na lile la Uhuru.
 
Kwa upande mwingine wanazidi kuipromote CDM
competence yao ni ndogo sana kiasi kwamba hawajui hata ni wakati gani wa kuwadanganya watu.
Hawajaona hata mfano wa alichofanya Mch. Gwajima, wangelikaa kimya wengi wasingejua uongo uliokuwa nyuma ya picha lote.

Sasa ulitaka waandike vipi lakini ukweli unauma MTU MMOJA AFARIKI KATIKA MKUTANO WA CHADEMA hapo pana ubaya gani na hivyo ndivyo walivyoandika au ulitaka waandike manyika ampasha spika bungeni jadili mambo ya mcngi au chadema ni malaika hawakosei
 
Ukweli una tabia moja 'mbaya sana kwa wengine'. Hata ukiubinya na kuupuuza vipi..ipo siku na wakati utajitokeza tu hadharani! na Unapojitokeza lazima utaibuka na wahanga wake!
 
Back
Top Bottom