Andre-Pierre
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 341
- 1,270
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.
Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako