Tuliowahi kupita ruti ya Tarime - Mugumu - Serengeti - Arusha tukutane hapa

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
336
1,237
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bure.

Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.

Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.

Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako

BD69968E-E3DA-4556-B778-F5B410B030BF.jpeg

Attachments

  • CA7CD24D-B1A4-4110-B078-3CE0DC247B67.jpeg
    CA7CD24D-B1A4-4110-B078-3CE0DC247B67.jpeg
    453.5 KB · Views: 5
aisee ni hatari sana nilisha wahi kupanda basi la kimotiko kutoka musoma hadi arusha.... kwa kweli safari ni burudani kabisa.
utalii for free...
Hivi kuna njia nyingine au ndio hio hio mana mimi nishawahi fika Simiyu ila Ni kama njia ya Serengeti tuliiacha nyuma sana,

Au anayeendelea mpk musoma ndio anafika huko?
 
kwenda Simiyu pale Fort Ikoma unaingia kushoto.
 
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee.

Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.

Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.

Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako

Nlipita maramoja cant dare kupita tena. Nlijuta
 
Barabara ni vumbi tupu, ila una-enjoy sana kuona mambo mengi barabaran, kama wamasai wakichunga mifugo yao pamoja na wanyama wa polini.
 
Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee.

Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.

Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.

Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako

Za kihoma mbona zilikuwa hivyo hivyo?
 
Si ndio Simiyu yenyewe?
Naomba nielezee tena..

Ili uipite mbuga ya seregeti ukiwa unaenda Tarime, Jee lazima ufike Simiyu(bariadi)?

Au kabla hujafika bariadi kuna njia nyingine unaingia?
Maana kama sikosei nilipita sehemu nikaona kibao kimeandikwa serengeti, ni upande wa kulia kama unatokea arusha,

Japo gari niliyokua nimepanda(Kimotco) kutoka arusha ilikua inaenda Musoma mi nikaishia Bariadi na sikupitia mbugani(Serengeti),

Sasa naomba kunielewesha, jee zipo njia mbili za kuingia Tarime? Means kuna ambayo sio lazima ufike bariadi?

Au kuna kitu nachanganya?

NB: jibu la swali la kwanz ni muhimu.
 
Kwenda Tarime kutoka Arusha via Serengeti ni rahisi zaidi kuliko kuzungukia Bariadi, Inawezekana Basi lilipita huko kwa ajili ya Abiria.

Hapo lazima ulipita Serengeti au Ulipita njia ya Singida
 
Back
Top Bottom