Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

Franken alikuwa rafiki mkubwa Sana wa mwl nyerere
Sawa kabisa. Yeye ni mmoja wa watu wachache sana wakati huo aliyekuwa na line ya simu iya moja kwa moja kwa Mwalimu.

Sababu ya Mwalimu kumpenda ilisemekana kwamba Franken kwa kuwezeshwa na waumini wa ulaya ndiye aliyefadhili ujenzi wa chuo cha Kigurunyembe miaka ya 50s kwa thamani iliyokadiriwa kuwa shilingi million sita za wakati huo na baada ya uhuru alikabidhi chuo kwa serikali.
 
Mwaka 1976 nilikuwa na umri wa miaka 11 nikisoma darasa la 4 shule ya msingi ya mazoezi Kigurunyembe.
We nawe kibabu angalia ndugu fuata mashart ya wataalamu korona isikukute maana inashambulia zaidi wakongwe lakini hawa wapaka poda wala wake za watu aaaaaah wanapona bwana na dhambi zao 😅😅😅😅😅
 
We nawe kibabu angalia ndugu fuata mashart ya wataalamu korona isikukute maana inashambulia zaidi wakongwe lakini hawa wapaka poda wala wake za watu aaaaaah wanapona bwana na dhambi zao 😅😅😅😅😅
Nimeishi miaka ya kutosha. Ikinikumba wala silalamiki najiondokea zangu.
 
Nimefurahi kukutana na wakongwe wa motco. Sisi wa 2009 Hadi 2011. Hatufui dafu hapo. Kimyaa. Tunashukuru Kwa kukuta mazingira mazuri na Sisi pia tumeacha yakiwa. Safi.

Ila mliinjoi Kwa na father franken mwenyewe.

Sisi tumetumia hall lenye jina lake tu.
Father franken hall.

"WATU WAPASWA KUFAHAMU"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATU WAPASWAAA........ Mimi nimepita hapo 2012 -2014.,,Nilikua nakaa Kibo ,,Mdau mkubwa wa Nongeni..Enzi za Wolfian Alexandra Ngonyani Mayombo...kwa kweli sijutii kupita hapo ,,nina mengi ya kusema kuhusu MOTCO
 
Back
Top Bottom