Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,478
- 31,072
Nimeambiwa makundi amefariki mwaka jana mwezi wa tano mama maeda yupo ila anaumwaHapo asilimia kubwa watakua wametangulia mbele za haki
Nimeambiwa makundi amefariki mwaka jana mwezi wa tano mama maeda yupo ila anaumwaHapo asilimia kubwa watakua wametangulia mbele za haki
Du! RIP Mzee Makundi.Nimeambiwa makundi amefariki mwaka jana mwezi wa tano mama maeda yupo ila anaumwa
Huyu alikuwa baba moja mweupe mwembamba?Nimeambiwa makundi amefariki mwaka jana mwezi wa tano mama maeda yupo ila anaumwa
Haswa. Alikuwa mwalimu wa Sayansi. Nje ya kazi alikuwa mjasiriamali aliyeanzia kufuga kuku.Huyu alikuwa baba moja mweupe mwembamba?
Huyo Makundi (R.I.P) sisi tulimkuta hapo mwaka 1974. Principal akiwa Father Franken, padiri mholanzi aliyeasi utawa.Sasa haya mambo ya 1976 kweli? ila siyo mbaya ila nimetoka bilabila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Franken alikuwa rafiki mkubwa Sana wa Mwl Nyerere.Huyo Makundi ( RIP) sisi tulimkuta hapo mwaka 1974. Principal akiwa Father Franken, padiri mholanzi aliyeasi utawa.
Sawa kabisa. Yeye ni mmoja wa watu wachache sana wakati huo aliyekuwa na line ya simu iya moja kwa moja kwa Mwalimu.Franken alikuwa rafiki mkubwa Sana wa mwl nyerere
Mwaka 1976 nilikuwa na umri wa miaka 11 nikisoma darasa la 4 shule ya msingi ya mazoezi Kigurunyembe.Kuna vibabu humu kumbe.
We nawe kibabu angalia ndugu fuata mashart ya wataalamu korona isikukute maana inashambulia zaidi wakongwe lakini hawa wapaka poda wala wake za watu aaaaaah wanapona bwana na dhambi zao 😅😅😅😅😅Mwaka 1976 nilikuwa na umri wa miaka 11 nikisoma darasa la 4 shule ya msingi ya mazoezi Kigurunyembe.
Nimeishi miaka ya kutosha. Ikinikumba wala silalamiki najiondokea zangu.We nawe kibabu angalia ndugu fuata mashart ya wataalamu korona isikukute maana inashambulia zaidi wakongwe lakini hawa wapaka poda wala wake za watu aaaaaah wanapona bwana na dhambi zao 😅😅😅😅😅
Ile sanamu ya bikira Maria ilikuwepo?Mwaka 1976 nilikuwa na umri wa miaka 11 nikisoma darasa la 4 shule ya msingi ya mazoezi Kigurunyembe.
Ndio naniHellen cheyo......wadau mnamkumbuka huyu mama
Nakumbuka ilikuwepo.Ile sanamu ya bikira Maria ilikuwepo?
kama hamkumbuki basi nyinyi wa kitambo Sana mmesoma pale,huyu nilimuacha miaka ya 2016Ndio
Ndio nani
Kuna anayekumbuka Kituli na Omboza?Nakumbuka ilikuwepo.