Tuliosoma duce mnamkumbuka lecturer wa history mr machangu

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Huyu jamaa alikuwa hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr mselemu -huyu dr akikuwa kilaza sijawahi kuona .hebu tujikumbushe
 
Huyu jamaa alikuwa
hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake
alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr
mselemu -huyu dr akikuwa kilaza sijawahi kuona .hebu
tujikumbushe

Usinikumbushe Mselem ni noma,ukipata B Plain unajiona shujaa,nasikia bado anatesa watu hadi leo. Km utakua ni miongoni mwa wanafunzi waanzilishi utakumbuka first year tulimkataa tukaletewa Juma wa Open anaeleweka lkn Mkoloni balaa.
 
Usinikumbushe Mselem ni noma,ukipata B Plain unajiona shujaa,nasikia bado anatesa watu hadi leo. Km utakua ni miongoni mwa wanafunzi waanzilishi utakumbuka first yeartulimkataa tukaletewa Juma wa Open anaeleweka lkn
Mkoloni balaa.

Jamani kwani hiyo DUCE product yake ya kwanza ilikuwa lini hadi mkumbushane? Nyie bado wote kama mko chuo tu mana mtakuwa mmegraduate ndani ya 5yrs.

Alafu nyie ma_teacher nendeni kufundisha acheni kupoteza mda kukumbushana recturers wenu wakati watoto wako class wanasubiri.

Teachers oweeeee
 
Nyie walimu wa Duce mnatisha. Demu wangu amemaliza pale alikuwa akinisimulia mwalimu anaitwa VAKOLAVENE kuwa alikuwa ni balaa. Wana jf ukitaka mke mwalimu zamia pale Duce ha haaa!
 
Jamani kwani hiyo DUCE product yake ya kwanza ilikuwa lini hadi mkumbushane? Nyie bado wote kama mko chuo tu mana mtakuwa mmegraduate ndani ya 5yrs.

Alafu nyie ma_teacher nendeni kufundisha acheni kupoteza mda kukumbushana recturers wenu wakati watoto wako class wanasubiri.

Teachers oweeeee

Mh,RECTURES,OWEEE!
 
Nimepita duce ila sikusoma history,ila Vako na Mselem ni tishio sana pale,
 
Jamani kwani hiyo DUCE product yake ya kwanza ilikuwa lini hadi mkumbushane? Nyie bado wote kama mko chuo tu mana mtakuwa mmegraduate ndani ya 5yrs.

Alafu nyie ma_teacher nendeni kufundisha acheni kupoteza mda kukumbushana recturers wenu wakati watoto wako class wanasubiri.

Teachers oweeeee

Sifikirii kama una logic make hata Nyerere aliacha ualimu na akaitengeneza Tanganyika ...is teaching an issue so far?
 
Mmmh! Magu achahizo unaonekana una chuki binafsi kwa walimu tena unaona hawafai kuleta hoja jamvini
eti waende darasani wakafundishe! Jitambue as a Great Thinker, na tambua kuwa jukwaa hili la elimu linaawahusu pia waalimu tena sanaaaa. Tuchangie hoja zenye mashiko. Mipasho yanini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom