The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Mkuu kiukweli watu vyuoni tunatoka wabichi
Kuwa diplomacyKuna kozi inaitwz international relations
Sijui hawa wanaandaliwa kuja kua nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabalozi.....ila Tanzania mabalozi lazima uwe mzeeKuna kozi inaitwz international relations
Sijui hawa wanaandaliwa kuja kua nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wale waliomaliza toka 2010 UDOM waendelee kua wavumilivu wanaweza kuteuliwa na mkuu kwenda kuiwakilisha nchi yetu nchini zambia?Hao wanaandaliwa kuja kuwa mabalozi au watumishi ndani ya balozi mbalimbali.
Nakubaliana na wewe
hahahha ngoja nikucheke kwanza, mkuu hizi kozi ya computer kama huna uelewa wa kujiongeza utaishia patupu, mimi nikiwa field mwaka wa kwanza (IT) nilienda chuo X aisee sitosahau nilifika nikaunganishwa na wanafunzi wa palepale wao walichagua kufanyia field pale chuoni kwao, walikuwa na PROJECT ya kutengeneza FILE TRACKING SYSTEM imagine wao pia ni mwaka wa kwanza kami mimi ila wamesoma mambo mengi balaa kama C, C++, PYTHON, RUBY, PASCHAL, PHP, SQL, HTML, CSS na bado wanaweza kufanya mpk network hacking ya pale chuoni kwao.Wewe ni kilaza, usie jitambua na wanaokusapoti ni vilaza vilevile.Chuo kikuu sio mahala pa kufundishwa kama darasa la kwanza bali ni sehemu ya kujifunza.Ukiwa chuo lazima ujitambue vinginevyo utaona maluweluwe tu.GURU wa İt duniani wamejifunza komputer science hawakufundishwa na mtu.Wenzio walisoma tu vitabu vya komputer science wakaunda na programu za komputer, mfano Elon mask aliunda computer game kwa kusoma tu vitabu sembuse wewe na mwalimu ulikua nae, wanafunzi wenzio nk.Ni ajabu kusikia mtu analalama kuwa mwalimu wake sio mahili hali ana smart ya kisasa ambayo ina internet ambapo kuna lecture mbalimbali, kuna vitabu vya kila aina.Udhaifu wako usiwe lawama kwa wengine'Self defensive mechanism'.Najiuliza tu ukisoma open university utamlaumu nani?.
Wakuu habari? Mimi mwenzenu nikiri wazi kuwa nilisoma chuo kikuu cha Taifa cozi ikiwa ni Computer Science lakini nilitoka half cooked sikuwa nimeiva kabisa na hii ikanipa wakati mgumu sana kwenye kusaka ajira.
Sababu:
Waalimu wengi waliokuwa wakitufundisha walikuwa wanatufundisha katika mfumo wa kutukaririsha zaidi kuliko kutufanya tuelewe na kulifurahia somo. Kama vile walikuwa wakitukomoa na kututishia ku-sup, niliishia kukariri ili nisifeli au kupata alama za chini.
Tunafundishwa mambo mengi kwa wakati mmoja tena ndani ya semister moja mnaweza kuwa na cozi zaidi ya 6 main, hivyo mwisho wa siku unajikuta unakariri zaidi badala ya kuelewa.
Ukosefu wa vitendea kazi kama laptop nayo ilikuwa tatizo kwasababu vifaa kama computer ni lazima, Computer lab ya chuo ilikuwa hoi computer nyingi zikiwa mbovu na hakukuwa na utaratibu maalum wa wanachuo kuzitumia zile zilizopo.
Walimu wetu kuwa shallow baadhi walikuwa wanatufundisha vitu ambavyo hata wao wenyewe hawavijui mpaka nikawa najiuliza hivi wamefikaje pale? unakuta mtu anakufundisha programing let say Java halafu hata yeye mwenyewe haijui na hakuambii utaiapply wapi?
Maisha magumu wakati mwingine Boom linaisha, pia wakati mwingine lilikuwa linachelewa sana kutoka hivyo kunifanya kuwa na wakati mgumu wa kufuatilia masomo halinikiwa na njaa, muda mwingi nilikuwa nautumia kuwaza nimpigie nani simu nimpige kizinga.
Mpaka unafika mwaka wa tatu nagraduate nilikuwa najiuliza nimevukaje na vipi nagraduate halikuwa hata kuprogram "Hellow world!" sijui ndio ikawa hivyo. Mambo mengi nimejifunza baada ya kumaliza chuo ikiwemo website designing na PC mainternace.

Mkuu nataka nijenge uelewa mpana wa computer kuanzia kwenye word, niombe uniambie namna ya kupata nondo muhimu, PC ninayo.Mkuu mimi nilisoma ka digirii ka computer Data Science chuo Fulani hivi hapo nchi jirani, kati ya wakufunzi watano waliokuwa wanatufundisha 4 walikuwa wanakuja kazini wakiwa tiyari wamepiga vyombo kichwani. Mimi niliambulia labda 30% ya elimu iliyokusudiwa. Nimetoka pale nimehangaika for 2 yrs kutafuta ajira bongo, jamaa mmoja akaniambia mimi ninamiliki shule ya computer studies kariakoo nakupa laki 2 kwa mwezi unapiga darasa mara nne kwa siku unasemaje? nikamwambia poa, Jamaa alichokifanya alinikabidhi vitabu vikubwa vya computer na ka ofisi kangu kadogo kama nyumba ya panya akanitupia na syllabus ya shule akaniambia piga msasa na huku ukifanya practical na utatumia computer hii (computer mbovu mbovu hivi na yazamani sana). Hapo ndio nilipoanza hasa kujua computer ni nini na inatumika vipi