Tuliopangiwa JKT Ruvu pakoje

Kama wew wataka jeshi kunoga nenda kigoma hukoo, ila piga wajibu wako jenga life

sijui kwa miaka ya sasa ila kile kipindi cha nyuma RUVU JKT walikuwa hawapeleki wagonjwa.

na ilikuwa kambi mojawapo ambayo tulikuwa tunazalisha mchele mwingi sana miaka ile tulikuwa tunalisha DAR ES SALAAM mchele wetu mdundiko. wagonjwa walikuwa wanapelekwa MGULANI JKT NA SIO RUVU.

MKUU USIIDHARAU KAMBI YETU YA MIAKA MINGI. naamini wapo wana RUVU JKT WA MIAKA YA NYUMA HUMU JF WATAKUBALIANA NA MIMI KUWA RUVU YA 1980'S HAIKUWA LELEMAMA
 
sijui kwa miaka ya sasa ila kile kipindi cha nyuma RUVU JKT walikuwa hawapeleki wagonjwa.

na kambi mojawapo ambayo tulikuwa tunazalisha mchele mwingi sana miaka ile. wagonjwa walikuwa wanapelekwa MGULANI JKT NA SIO RUVU.

MKUU USIIDHARAU KAMBI YETU YA MIAKA MINGI.

Mkuu, sijadharau ila kwa sasa ukicompare pale na sehem zingine, pale ni sawa umekula tano ukipelekwa
 
we Nenda kapige Kazi mzee... hizi za kuuliza hapa ni ishara ya woga.
 
Ndugu wanaJF mimi napenda kujua hali ya kikosi cha Ruvu pakoje, Je! Ni porini sana na zipi kaz za pale?

Msaada kwa anayejua

dg we nenda, ruvu pako flesh c pori ni nje tu kidogo ya mji wa mlandiz, mi mwenyewe nmemaliza mafunzo hapo mwezi wa kwanza ss ni mwl. ukpangiwa combania C mpe hai afande yusuf, juma, shakran, na mnaa mmoja anaitwa emil. kwa info zaidi hebu ni PM
 
ruvu sio porini sana... mazingira kambini siyajui ila kwa waliopitia huko wanasema ni kuzuri sana tu.
kiuhalisia kule hakuna kazi ngumu ni mafunzo ya kawaida tu ndio maana wa walemavu wanapelekwa huko..
wenyewe wanasema kule ni shumbwela...siomajeshi kunoga kama zilivyo baadhi ya kambi hasa zilizomnali na makao makuu.
 
Ruvu ni kambi ya kiungwana sana ukilinganisha na makambi mengine. Jipange kukumbana na rabsha za hapa na pale. Jeshi la uhakika liko Mgambo, Oljoro, Mafinga, Bulombora na nyinginezo za mbali.
 
Bulombola kambi ya mafunzo,utii,nidhamu,bulombola ya kigomaaa basi lake Saratoga dagaa na mawese yaingia hekooo bulombola 821 kj under care of CI james and I.M.Mketo Co
Na Robert Mpemba Oc wa eagle coy
Jkt raha sana .wapi Chulei Mkaka sir major.
 
Back
Top Bottom