yolam sanga
Member
- Jul 29, 2014
- 8
- 4
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,
Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?