Tuliomba mkopo wanaopewa watumishi wa Umma, tumeanza kukatwa kabla ya kupewa mkopo wenyewe

yolam sanga

Member
Jul 29, 2014
8
4
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,

Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
 
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa,hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
Riba yake ikoje mkuu?
 
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,

Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
Mkopo upo njiani mkuu we weka malengo usijekunywea gambe
 
Back
Top Bottom