Tuliokwazana mtandaoni kisa kampeni sasa tuombane msamaha hapa, kampeni zimeisha tujenge nchi

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
510
756
Jamani kuna wengi tumekwazana sana kupitia Itikadi, Majibu, Sera, Kuhusu wagombea wetu, kuna wengine najua mmetishana kupitia hata SMS.

Sasa naomba umtaje uliomkosea na umuombe Msamaha.
 
Nimewasamehe wapinzani wote kwa kunitukana badala ya kujibu mapigo kwa hoja
 
Nimewasamehe wote waliokasirika na kuniita kibaraka kisa nasapoti OZ
 
Jaman Kuna Wengi Tumekwazana Sana Kupitia Itikadi, Majibu, Sera, Kuhusu Wagombea Wetu, Kuna Wengine Najua Mmetishana Kupitia Hata Sms, Sasa Naomba Umtaje Ulomkosea Na Umuombe Msamaha,

Tatuzo umeingia na id mpya ungeingia na ile ya zamani ningejua umedhamilia na tungeombana msamaha wa dhati mkuu.
 
Tukumbuke Kumuomba Msamaha Kwa Dr Slaa, Lowassa, Magufuri, Gwajima
 
Kuna watu ambao hawastahili kusamehewa kutokana na matusi, kashfa na udhalilishaji wao dhidi ya wenzao.
 
Back
Top Bottom